Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Magonjwa yapi hayo mkuu maana kuna age ukifika automatically tu unaugua kisukari & pressure hujui hata vimetokea wapi
Sio wote huugua hayo magonjwa mkuu, kuna wazee uzee wao sio wa magonjwa wanakufa kwa uzee yaani organs za mwili zinakosa ushirikiano tu.

Mfumo wa maisha wa sasa ni ngumu kukwepa hayo uliyotaja labda uishi bush sana utumie vyakula vya asili sana.
 
Back
Top Bottom