Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Mambo niyaogopayo kwenye maisha

1. Kumkosea Mungu. Yaani inafika wakati nataka kufanya dhambi nakuwa na woga saana...na hakuna dhambi nimefanya kwa kujisahau. Dhambi zote nakuwa conscious kabisaaa halafu nafosi kufanya baada ya kubishana na nafsi kwa muda.
2. kimwi
3.Ukimwi
4.Ukimwi
5. Poverty
 
Kumfanyia mtu chochote ambacho ningefanyiwa mm ningejiskia vbaya


Kuandika thread ya kumpa ujumbe binti yeyote wa jf kwamba nampenda

Kuexpose mambo ya kudinya binti wa mtu
 
Back
Top Bottom