Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Zab 119:9-16 SUV​

Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi. Ee BWANA, umehimidiwa, Unifundishe amri zako. Kwa midomo yangu nimezisimulia Hukumu zote za kinywa chako. Nimeifurahia njia ya shuhuda zako Kana kwamba ni mali mengi. Nitayatafakari mausia yako, Nami nitaziangalia njia zako. Nitajifurahisha sana kwa amri zako, Sitalisahau neno lako..

👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻👆🏻
Samahani kama nimetoka nje ya mada 😎
 
AMEN. Asante sana mjoli wa Bwana kwa kushea neno la Mungu
 
Back
Top Bottom