Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,144
- 7,932
Mbona ghafla ya mjoli wa Bwana😆Kwenye dhambi tupo pamoja, mjoli wa Bwana
Mbona ghafla ya mjoli wa Bwana😆Kwenye dhambi tupo pamoja, mjoli wa Bwana
Mungu akufanye uwe tajiri. Ukomboe na wengine kutoka kwenye umaskini wa grade ANaogopa umaskini ule grade A
AmenMungu akufanye uwe tajiri. Ukomboe na wengine kutoka kwenye umaskini wa grade A
Mjoli wa Bwana, YESU NI BWANA na ndie njia ya uzima!Mbona ghafla ya mjoli wa Bwana😆
Kwa jina jingine unaitwa ufukara uliotukaNaogopa umaskini ule grade A
Hho.huo mkuuKwa jina jingine unaitwa ufukara uliotuka
Dah1 Mie sio yule wa jana mkuu... nimebadilikaUnaogopaje wakati wewe ni Waziri wa Nyege kutoka katika Wizara maalumu?
OlalaaaKwenye dhambi tupo pamoja, mjoli wa Bwana
Hahaha! dhambi mbaya sanaaaOlalaaa
Ume confuse dronedrake ni mla nyeto mkubwa 🤒😁.ahahaha: Jumla ya yote hapo unaogopa uzinzi ( uasherati )
Ngoma msala mzitoo.. kaaa nayo mbali kabisaaa.. ile haina baunza
Nimeona tumehamia kwa web designer segment au naona peke yangu1. dini, naona kama dini ni chombo cha kukandamiza watu
2. walimu, nilivokua mdogo kuna mwalimu alinidhalilisha kwa kunivua nguo darsani mbele ya watu na kunichapa, hii iliniathiri sana kisaikolojia....
3. buibui
4.kifo