Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Mambo niyaogopayo kwenye maisha

Migogoro na watu hii naiogopa sana bora niwe mjinga ingawa bado watakuchokoza ila wee jifanye Mjinga tu,watu wengine ni wahovyo sana
 
1. Kumkosea Mungu. Yaani inafika wakati nataka kufanya dhambi nakuwa na woga saana...na hakuna dhambi nimefanya kwa kujisahau. Dhambi zote nakuwa conscious kabisaaa halafu nafosi kufanya baada ya kubishana na nafsi kwa muda.
2. kimwi
3.Ukimwi
4.Ukimwi
5. Poverty
Wewe ni mchungaji wa kanisa gani😂
 
1. Umasikini.
2. Chochote kitakachoathiri uwezo wangu wa kufikiri na kufanya kazi.
3. Kiburi

Mit 30:7-9
Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa. Uniondolee ubatili na uongo; Usinipe umaskini wala utajiri; Unilishe chakula kilicho kadiri yangu. Nisije nikashiba nikakukana, Nikasema, BWANA ni nani? Wala nisiwe maskini sana nikaiba, Na kulitaja bure jina la Mungu wangu.
 
Back
Top Bottom