Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Tunataka member mpya wa JFakikubali tuingie kwenye ndoa kwanza.. ndio nitampelekea moto
Tunataka member mpya wa JFakikubali tuingie kwenye ndoa kwanza.. ndio nitampelekea moto
ananichotaa hapa huyu mtoto mzuri.. Cute Wife ... hata PM hajibu... nimemuambia nipeleke mahali au kishika uchumba hatakiMzee National Anthem fanya mpango hii imeenda mpe anachotaka 😆
Katika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa ...
1.Uzinzi (uasherati)
2.Kula jasho la mtu
3. Kumuuzunisha mtu
Sijui nyie wnzengu.. mambo yepi kwenu mna yaogopa
Intelligent businessman
Poor Brain
mshamba_hachekwi
Extrovert
Magonjwa yapi hayo mkuu maana kuna age ukifika automatically tu unaugua kisukari & pressure hujui hata vimetokea wapiMagonjwa
Kuzeeka haraka
Umaskini
Stress.
Tusitishane alooooo.....☹️Naogopa:
1. UTI
2. Gono
3. Ngoma
subiri wengine waje
Njoo kwanza kule tuyajenge.. mie nata kusafiri.. usianze ninyanyapaa kisayansi



piem nimewaambia mods waipige banhadi UTI ?Tusitishane alooooo.....☹️
Hayo uliyo yataja huku kwetu hayajafika kutoka daslma....😕
akikubali tuingie kwenye ndoa kwanza.. ndio nitampelekea moto



Tunataka member mpya wa JF




Ndio ndio hivyo hivyoAfu tunamuita, Jamii Forum National Anthem![]()
Hiyo tunaipigiaga Konyagi kubwa hadi wadudu wana lewa na kudanja..😜hadi UTI ?
maana ndiyo wimbo wa taifa huo