Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

🤔🤔🤔

Huo umri na mipango yako kibongo bongo nadhani umepunguza au codes...

Ok pongezi kwa kuonesha mwanga kwa vijana 🤝🤝
 

Mtoto wa miaka 7 ni mkubwa mkuu.
Ulizia wenye watoto.
Unaweza kukataa hilo lakini muda huohuo unakubali kuwa kuna watoto wanachelewa kujitambua mpaka umri wa miaka 15 huko lakini mtoto wapi. Hiyo ni ishu ya saikolojia tuu.
Mwambie huyo ,mimi nilijitambua nikiwa na miezi miwili tu
 
Ni andiko zuri!
 
20-30!!?

Nilijifunza falsafa ya "Depending from nowhere"yaani kutomweka mtu yeyote moyoni kama tegemeo!full kupambana mwenyewe!

Nikajikuta nafanya maamuzi bila kushirikisha wazazi Kwa lolote!!

Mahusiano niliamua kumuachia yeye muumba aamue coz nilikosa Hali ya kujiamini kimiliki Hawa viumbe wasumbufu waitwai wanawake,nilichewa kuingia kwenye mahusiano kabisa Hadi nikiwa na miaka 22 ndio nilianza gem!!

Nikajikuta mikononi mwa Dem nikiwa chuo mwaka wa tatu nadhani alihisi vitu fulani!!

Bado naamin mwanamme hawezi toa maisha yake yote Kwa mwanamke.mmoja TU,nimetengeneza maisha kwaaajili ya Hawa watoto tulionao japo bado naamini nitaendelea kuwa na mahusiano zaidi ya haya huko mbeleni!!!

NIMEJIFUNZA USITOE MAISHA YAKO YOOOTE KWA MWANAMKE ANGALAU FANYA KWAAJILI YA WATOTO KAMA MNAO,COZ WANAWAKE WANASALITI VIBAYA HATA KAMA HAWATOCHEPUKA LAKINI WATAKUUMIZA HISIA ZAKO PALE WANAPOHISI WAMESHIBA JUHUDI ZAKO!!!


Upendo wa wanawake na ile kuniganda Sana vile vimekuwa ni udhaifu kwangu hujikuta naelekeza nguvu kwao hasa wakisingizia ujauzito baadae wakishiba utaanza kuona tabia zao za ajabu ajabu!!!sijui kwanini Wana hiyo tabia yaani ni gold diggers ,nilihudumia Dem nikidhani yule mtoto ni wangu baadae anazaliwa kweli anaonekana wangu Cha ajab akagonganisha sisi wawili yaani Hana msimamo mtoto ni WA nani!nikaamua kumuachia jamaa!!full vituko!!!

Nilianza kuishi kwenye nyumba yangu nikiwa na Miaka 26!Hadi Leo kujenga ndio jambo naweza kufanya kirahisi kuliko kufungua duka na kusubiri wateja!!!

DEPENDING FROM NOWHERE NDIO FALSAFA NA INAFANYA NIONEKANE MWENYE KIBURI,MJIVUNI,DHARAU NA PERFECTIONIST!!!
 
HONGERA Sana
 

Ikiwa Jambo lolote, imani, au falsafa inakufanya uwe na furaha na maisha basi hiyo ndio njia yako ya Maisha.
 
bado hujaongea kwa kufunguka zaidi maana umerudia kitu kimoja mara nyingi sana, ongea kwa point sio kutaka kuaminisha watu view yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…