funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Hii ni thread muhimu ya Mambo muhimu ya kumdai mgombea Urais kupitia CCM tunapoelekea kufanya uchaguzi oktoba 29.
Katika thread hii tuweke bila aibu ni mambo gani muhimu anatakiwa atimize iwapo atachaguliwa kushika kiti adhimu cha Urais mwaka 2025 hadi 2030.
Ni wazi na bila shaka watanzania wengi kupitia CCM watamchagua hivyo sio mbaya kusema kwa uwazi ni maswala yapi anapaswa kuyasimamia pindi atakapopewa ridhaa ya kuongoza.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!