GE2025 Samia: Majaliwa ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,020
Reaction score
6,858
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.

Uongo huo atakuwa msaidizi gani kwa nafasi gani? Huyu muongo sana
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.

Unatoka kuwa PM unakuwa naibu pm hayo si matope! Anawadanganya wana Ruangwa anajua jinsi walivyo mataahira na ndio maana wamemshangilia alipowadanganya. Baada ya pm ni vp kama kweli anathamini alichokifanya angemteua awe mgombea mwenza ili baada ya uchaguzi awe vp tofauti na hapo ni utapeli wa kipakistan.
naibu pm kivu
 
majaliwa kazi imemalizika
 
Kama ni mie nakataa mbele yake. Yaani na mipango yotee dhidi yake eti leo anawaonesha meno kwa kuutamka huo uongo hadharani Ili tu wajinga wampigie kura.

Utapeli kazi ngumu sana
 
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.

hiyo ahadi yake ina umuhimu gani kwa hao wananchi ? itatatua matatizo na mahitaji yao kama wananchi?
 
Back
Top Bottom