Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Kwanini nimeandika Uzi huu?
Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea.
Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious. Akasema kama kuna mtu anazingua niambie nimroge afe mara moja.
Watu wako tayari kumuumiza mtu ili tu wapate pesa bila kujali kuwa huyo mtu anategemewa na watu wangapi. Watu wanaweza kukuua kwa njia yoyote ili tu wapate pesa au utoke mahali ambapo wanakuona kama kizuizi.
Hizi ndizo zile nyakati zilizotabiriwa , kuwa ni nyakati za hatari, nyakati za mwisho.
Watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu.
Kwa hakika mpaka viongozi wa dini wameingia kwenye mtego huu. Wanapenda fedha kuliko kumpenda Mungu ingawa midomo yao haiachi kutaja (kuropoka) jina la Mungu.
Mambo ya kuzingatia ili uishi maisha marefu na yenye amani pamoja na mafanikio kama Mungu anavyotaka.
1. Kuwa msiri
Kuna mambo hupaswi kumwambia mtu yeyote, yanapaswa kuwa yako peke yako tu. Kuna mambo mshirikishe mke/mume tu na kuna mambo washirikishe wazazi na watu wa karibu tu..
Hapa namaanisha mambo yako yaweke katika level tatu mpaka nne. Na kila level liweke kundi ambalo linapaswa kujua.
Ukiwa na tabia ya mambo yako kuwa public ili upate sifa hutatoboa.
Kuna hatari ya kufa mapema sana. Watu si wema kama unavyodhani.
2. Kuwa makini na kila mtu. Hasa hao watu wako wa karibu.
Hao ndio wanaouza ramani za madili yako. Hao ndio watakaolipwa pesa na adui ili usulubishwe.