Chonde, chonde, kama ni petrol kimbia mbali kabisa, kama ni Dizeli au mafuta ya taa unaweza kujihudumia lakini kwanza angalieni usalama wa dereva na utingo ukoje msije kujihudumia wakati dereva na utingo wamo ndani wakiwa majeruhi kwani kujihudumia bila kujali maisha ya binadamu wenzenu ni unyama unao muudhi Mungu----- kitu ambacho kilitokea huko Morogoro kwenye ule mlipuko wa Tanker, watu walisahau kabisa kwamba dereva alikuwa kabanwa ndani ya cabin na alikuwa anaomba msaada aokolewe lakini watu hawakujali utu ila walikuwa wakigombania kuchota mafuta ya bure, kilichotokea unakijua.[emoji848][emoji848]