Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,770
Nimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haramu wamekula kona 🏃♂️ 🤣.