Ila ngozi nyeusi 😂

Ila ngozi nyeusi 😂

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,828
Reaction score
5,342
Mtoto anaenda kisoma computer science chuo kikuu baba mkulima wa mkonge kwanini asisome kilimo akamsaidia baba yake kuongeza uzalishaji wa mazao?
Nyumbani hakuna hata laptop hata ya kuchomelea tu that is wasteful of time my ninga
Baba fundi cherehani mtoto anaenda kusomea family care inamsaidia nini mzazi na kizazi chake ? Hayo nayo ni matumizi mabovu ya ubongo wastage of time cabbage
Mzazi mfanyabiashara mtoto anaenda kusomea Mechanical engineering for what? nyumbani hakuna hata gari bovu kwanini asisome biashara akamsaidia mzee kuongeza ufanisi zaidi mtoto wa dewji yule pale baba mfanyabiashara kaenda kusoma biashara afu wewe mtoto wa kapuku eti hutaki kusomea kilimo wakati baba yako mkulima wa mkonge ubongo wa kuku kabisa
Afu unakuta vijuaji vimeishia kuwa viwinga na kuuza mabando online 😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom