Nimefurahi sana tena sana, kama mh. mwenyekiti kaliona hilo, basi huo ndiyo mwisho wa matapeli ndani ya ccm.
haaah haaah hapo umenena mwana dah Jk mbna nae fisadi tu, hakuna kitu huko dom ni usanii mtupu!Hakuna la maana kutoka huko fisadi no. 1 ni baba riz1 kwaiyo naye atoswe 2ingie kwny uchaguzi au?
Nadhani kuna jambo ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa- kujisafisha, kukubali kubadilika, kwenda na wakati.
Watanzania wengi zaidi bado wanaishi kwenye object povery na ndio wanaoishi with less than a dollar a day.
Mahitaji ya watu hawa ni mlo mmoja tuu wa leo regarless kesho watakula nini.
CCM imekuwa ikiutumia udhaifu huu kujipatia ushiondi wa chee, hivyo ikijisafisha, ikabadilika na kwenda na wakati kwa kujua enzi za kura ya mlo mmoja zimepita, enzi za kura za T-shart na kofia pia zimepita, sasa ni enzi za siasa za ukweli, kama CCM nayo itafanya siasa za kweli, wenye njaa watawaelewa na njaa zao na watawaaminia kwa matumaini ya kushibishwa!.
I don't believe in god...so whatever!
watu kama hawa wakifa wazalendo tutachekelea na sherehe tutafanya majumbani mwetu.RA kwa kweli ameitesa nchi hii. EPA yumo kupitia Kagoda alipopora mabilioni yetu.Eti mjumbe wa CC ya chama tawala lakini anasimamia waziwazi malipo ya ujanja ujanja na ya kifisadi sana ya DOWANS ya mabilioni ya pesa za Watanzania. Hayo ni yale yaliyoibuliwa tu.Mtu kama huyu ni wazi anatutesa sana.Asamehewe na wana CCM lakini naamini Watanzania hatuna msamaha naye.
Did I even talk to u?.....whenever u post something about my comments,I will answer!!...and I don't believe in god and satan and angel stories,they just dont make any sense to me!...well,keep on watching and stop being a smart a**Go on believing in satan and keep silent. We are watching what is happening in Dodoma and we don't like being disturbed. PERIOD
Heee.....inamaana wewe ni mzee Kingunge ngombale mwilu?....mmmh sikujua kama na wewe uko ndani ya JFjamviI don't believe in god...so whatever!
Thanksabject poverty
Consultant hakuajiriwa kutafuta sababu za kushindwa, bali sababu za kushindwa kuchakachua vema hata baada ya kumwaga mabilioni - maana lengo lilikuwa JK ashinde kwa 80% kama utakumbuka tafiti za kupikwa za redet.
Gamba la CCM ni pamoja na M/Kiti sasa kazi kweli kweli kulivua
Nipo bana!! habari za siku nyingiHeee.....inamaana wewe ni mzee Kingunge ngombale mwilu?....mmmh sikujua kama na wewe uko ndani ya JFjamvi
WAPI MAAMZI MAZITO? kuvunja CC ndo maamuzi mazito?????