Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,672
Ni kweli unachomaanisha au umepitiwa weye? Tanzania?
Kimokole usipate nao tabu hawa,ndo wale wale wanaoishi kwa kanga na,kofia na t-shirt.,Duh kazi ipo.
Ni kweli unachomaanisha au umepitiwa weye? Tanzania?
Ndugu zangu uimara wa chama unategemea sana uongozi thabiti wa mwenyekiti wa chama.Hawa wote mliowalazimisha kujiuzulu walikuwa wanafanya hayo walioyafanya kwa baraka za mwenyekiti!...
Kumbukeni msemo wetu wa enzi zile "Zidumu fikra za mwenyekiti"...hii ilitokana na uongozi dhabiti wa Mwalimu Nyerere katika kukiongoza chama mpaka watu wakatamani fikra zake zidumu.John Chiligati ana upeo na uwezo mkubwa tu wa kiuongozi kuliko hata hawa mlioteuwa,..George Mkuchika vilevile na hata Makamba ambaye aliyokuwa anayafanya alijua mwenyekiti wake atayafurahia!...
Ninachosema hapa ni kwamba mlichokifanya mmetoa jasho na wala siyo gamba!..Gamba lenyewe ni mwenyekiti ambaye marafiki zake ambao ni manyangumi ya ufisadi yanakiyumbisha chama huku yeye akitabasamu.
We muongo au unaongozwa na hisia zaidi kwa kuwa wote wanatoka arusha labda,lakini tunaomjua kinana yeye na Lowassa ni chui na paka hata Lowassa anajua kwamba Kinana hajawahi kumkubali na ni yeye Kinana Aliekuwa anamshauri JK (without success)Awatose kina EL na R.A.kwenye kampeni asiende majimboni mwao kuwainua mikono kwani watazidi kuiharibia ccm na kuwapa wakati mgumu kumnadi yeye Jk,pia amekuwa ni kinana ndani ya kamati kuu akiongoza upinzani dhini ya kampeni chafu za E.L. na genge lake dhidi ya SAM SITTA wakitaka kamati kuu imvue uanachama wa ccm mzee Six,na mara ya mwisho ni hivi majuzi kwenye uteuzi wa mgombea uspika atakaesimama kwa niaba ya ccm kila mtu aliona/kusoma jitihada za kinana,membe,chiligati kujaribu kumnusuru Sitta atetea kiti chake huku LOWASSA na genge lake wakimsimamia Spika wa sasa na kuhakikisha SITTA harudi tena,sasa KINANA anakuwaje mtu wa LOWASSA?
Kwa mwenedndo huu: Mkama + Kinana + Nape + Nchimbi (Ms)+ Zagkhia.......matandao JK full. One important thing: I can see Lowasa being Screwed F-u-cked to the level!
Nawasalimu wanaJF.kuna taarifa isiyokuwa rasmi kuwa Nape nnauye anaweza kuwa katibu mwenezi wa ccm,kama taarifa hizi ni za kweli basi hizi zitakuwa jitihada maalum za ccm kuhakikisha wanarudisha hadhi ya chama mbele ya vijana(kujivua gamba) kwani vijana ndio wapiga kura wajao.
Je kwa maoni yako unadhani Nape ana mvuto kwa vijana kiasi cha kubadilisha sura ya ccm kwa jamii haswa vijana?
bagbo akamatwa..................wacha nipoze machungu huku............aljazeera anaonyeshwa.......mi nawatch online hapa......