Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,796
- 50,920
Anajua mwenyeweKwa maana hakuwa na ADC?
Anajua mwenyeweKwa maana hakuwa na ADC?
Watu hawalijui hilo. Ni kwamba mkiwa mmepewa mikate miwili na nyie mpo watano halafu mmeambiwa mgawane vipande sawa kwa haki halafu watatu kati yenu wakala vipande vingi kukuzidi nyie wawili..Taarifa zinavuja endapo wanaotakiwa kuzitunza mioyo yao inavuja damu na macho kutoa machozi
Hapo watavujisha wakihisi ahueni itapatikana
Ili iweje?Usikute yeye mwenyewe ndo alikuwa mtoaji siri
People will always want to test new things to see if they have what it takes own such qualities, As bonus character, a good leader must be unpredictable, and SHE IS.Na Thadei Ole Mushi.
1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia 💯.
2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline ya kutosha. Kwa kumuangalia Usoni haogopeshi Ila maamuzi yake yanaogopesha Sana.
3. Kuondolewa kwa Gelasius Gasper Byakanwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ni muendelezo wa kuelekea kwenye Political reconciliation. Huyu mkuu wa Mkoa ni yule aliyevunja Green House ya Mbowe kule Hai na kupewa promotion toka kuwa mkuu wa Wilaya hadi Mkuu wa Mkoa. Kuna kitu watu hawajakielewa, Mama anataka kuyaleta makundi yote Pamoja. Kuna watu bado wapo kwenye Enzi za matumizi ya Nguvu badala ya akili. Kwa walioteuliwa Mpaka sasa kumbukeni Hili zama zimebadilika.
4. Jambo Lingine naloliona kwa sasa Mama anasikiliza Sana anaowaongoza. Hapo nyuma Kidogo watu wangeweza kupiga kelele kuhusu uadilifu wa Mtu flan lakini mamlaka ikamuacha tu as long as wanaolalamika ni wapinzani. Kwa sasa viongozi wanaoteuliwa pona yao ipo kwa wananchi... Yaani wananchi wakikuchukia utatolewa. Niwahusie wote walioteuliwa Mpaka sasa kuwa mtaji wao upo kwa wananchi. Kiwango Cha kukubalika na wananchi kitaamua umri wako kwenye nafasi uliyopewa.
5. Vipengele Muhimu katika uongozi vimeshaonekana (Power & Authority). Power uwezo wa Ku influence wengine kufanya au kutokufanya jambo flani. Cha pili ni Authority, huu ni uwezo wa kumshurutisha mtu kuacha au kufanya jambo flan "Mamlaka" ambayo kutokana na kazi yako na nafasi yako kazini unakuwa na mamlaka ya kumwamrisha wa chini yako au unaowaongoza.
Kauli Moja tu ya "Kudemka" ilitosha kunyamazisha wabunge na mijadala yao ya kumfananisha na Hayati Dkt. John Magufuli.
Ole Mushi
0712702602
View attachment 1786654
Siku hizi kigogo ni kama sisi
Taarifa za kesho zimeminywa
Huyu mama nahisi majina anatembea nayo kwenye mkoba wake.
Punguza mahaba mkuu.... Hakuna jipya..Na Thadei Ole Mushi.

Kidomo domo kimekatwa mmebaki na macho tuu!Wengine yetu macho..
Shujaa taarifa zilivuja kwa kuwa watu wa karibu yake hawakumpenda pia, walikuwa wanafanya HUJUMA kuonyesha madhaifu ya mfumo. Mama kaanza vizuri, akiboronga utaona yale yale ya taarifa kuanza kuvuja....Siku hizi kigogo ni kama sisi
Taarifa za kesho zimeminywa
Huyu mama nahisi majina anatembea nayo kwenye mkoba wake.
Aisee!Uhuru wa vyombo vya habari pia umechangia kutovuja siri za serikali. All in all wanawake kwa kutunza siri ndo mahari pao.
Kuhusu taarifa na usiri wake naunga mkono.
Serikali ilitumia nguvu Sana kupambana na kigogo badala ya kudhibiti utokaji wa taarifa hovyo..
Nasikia walibadilishwa sana still hakufanikiwa kuziba leakages, labda kuna kitu walimuwekea bila yeye kujua kikawa kinaiba taarifa
Kama nani mkuu alikuwa anavujisha siri.Taarifa zinavuja endapo wanaotakiwa kuzitunza mioyo yao inavuja damu na macho kutoa machozi
Hapo watavujisha wakihisi ahueni itapatikana
Kura za maruhan ndio kura gani Mkuu?Ikulu kwa sasa imemilikishwa kwa wa Znz, hawa jamaa wana siri hatare sana
Nakumbuka 2003 kwny uchaguzi wa marudio wa Majimbo 16 kule Znz…Jamaa kisiwa kizima kumbe waliambiana wakapige kura za Maruhani huwezi amini na uwepo wetu kule hawakuwahi kumwambia Mbara yeyote kuwa kesho tunaenda kupiga kura ya Maruhan, hadi watoto wa Madrasa walikuwa na siri hiyo kisiwa kizima lakin sie 'Machogo' hatukujulishwa hadi tunastukia aibu kwmy Masanduku ya kura
Sasa hivi Kigogo amekuwa mchambuzi wa Siasa sio tena mtu wa Breaking newz
Ila pia nmejifunza Wasukuma 'hawana vifua', wakati wao Ikulu kila kitu kipo open
Nimekuelewa sana mkuu.Taarifa zinavuja endapo wanaotakiwa kuzitunza mioyo yao inavuja damu na macho kutoa machozi
Hapo watavujisha wakihisi ahueni itapatikana
hakuna sababu ya msingi ya taarifa kutokuvuja mpaka sasa,zaidi ya usaliti kwa mwendazake.Taarifa zinavuja endapo wanaotakiwa kuzitunza mioyo yao inavuja damu na macho kutoa machozi
Hapo watavujisha wakihisi ahueni itapatikana