Mambo matano ya awali niliyoyaona kwa Rais Samia

Mambo matano ya awali niliyoyaona kwa Rais Samia

Sefu msaliti ,kasome kitabu cha mwinyi

Maelezo ya mwinyi hayawezi kuhalalisha kuwa Seif ni msaliti. Asilimia 80% ya wazanzibari wamesimama na Seif na sio Mwinyi.

Kwahiyo ni vichekesho kabisa kuwaamini wanasiasa uchwara wa CCM wanaokosa ushawishi hata ya watu elfu moja nje ya Dola kumuonyeshea kidole mtu ambaye anakubaliki katika mamilioni ya watu mpaka kufa kwake kuwa eti ni msaliti.
 
Back
Top Bottom