Mambo matano ya awali niliyoyaona kwa Rais Samia

Mambo matano ya awali niliyoyaona kwa Rais Samia

Na Thadei Ole Mushi.

1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia đź’Ż.

2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline ya kutosha. Kwa kumuangalia Usoni haogopeshi Ila maamuzi yake yanaogopesha Sana.

3. Kuondolewa kwa Gelasius Gasper Byakanwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ni muendelezo wa kuelekea kwenye Political reconciliation. Huyu mkuu wa Mkoa ni yule aliyevunja Green House ya Mbowe kule Hai na kupewa promotion toka kuwa mkuu wa Wilaya hadi Mkuu wa Mkoa. Kuna kitu watu hawajakielewa, Mama anataka kuyaleta makundi yote Pamoja. Kuna watu bado wapo kwenye Enzi za matumizi ya Nguvu badala ya akili. Kwa walioteuliwa Mpaka sasa kumbukeni Hili zama zimebadilika.

4. Jambo Lingine naloliona kwa sasa Mama anasikiliza Sana anaowaongoza. Hapo nyuma Kidogo watu wangeweza kupiga kelele kuhusu uadilifu wa Mtu flan lakini mamlaka ikamuacha tu as long as wanaolalamika ni wapinzani. Kwa sasa viongozi wanaoteuliwa pona yao ipo kwa wananchi... Yaani wananchi wakikuchukia utatolewa. Niwahusie wote walioteuliwa Mpaka sasa kuwa mtaji wao upo kwa wananchi. Kiwango Cha kukubalika na wananchi kitaamua umri wako kwenye nafasi uliyopewa.

5. Vipengele Muhimu katika uongozi vimeshaonekana (Power & Authority). Power uwezo wa Ku influence wengine kufanya au kutokufanya jambo flani. Cha pili ni Authority, huu ni uwezo wa kumshurutisha mtu kuacha au kufanya jambo flan "Mamlaka" ambayo kutokana na kazi yako na nafasi yako kazini unakuwa na mamlaka ya kumwamrisha wa chini yako au unaowaongoza.

Kauli Moja tu ya "Kudemka" ilitosha kunyamazisha wabunge na mijadala yao ya kumfananisha na Hayati Dkt. John Magufuli.

Ole Mushi
0712702602

View attachment 1786654
Bado suala la wabunge wa covid-19 na uvunjaji wa katiba kule bungeni.Kwa kweli mama anatia matumaini.
 
Bado lipo genge ndani ya Serikali lisiloamini kwamba milele zote Mwendazake hataamuka.

Lipo genge limejaa fitna na chuki kubwa.
 
Yote ya yote bado anabaki kuwa mwanadamu, ambae hajakamilika, anawaza kukosea muda wowote, Kama ilivyo asili ya mwanadamu.
Tusiweke matarajio makubwa Sana kwake, Bali tuwe na kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utawala uliopo sasa ni wa kina kigogo. Infact, ni utawala ambao wanauunga mkono. Sasa watafute kuvujisha siri za nini wakati na wao wanashiriki kupanga Serikali. Inawezekanaje mtu kuvujisha siri zako mwenyewe.

Mission is accomplished, there is no other mission. Sasa hivi tunajadili mipira tu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Kama unamjua huyo kigogo kwanini hukumsaidia chifu wa chato kwenye harakati zake za kuchezea kodi za Watanzania akimtafuta kigogo?

Acheni kudandia msiyoyajua
 
We

wewe bibi muunga juhudi enzi za fisi mla watu upo?

Pole sana kwa msiba 🤣🤣🤣

Wewe babu pole kwako.. namba mulisoma sana.. sasa mumeendelea kimaisha?

Mimi nipo hapa Kijijini kama kawa.. mendoza wa organic fudi
 
Ameenda kupumzika Zenji katoka na singo ya wakuu wa mikoa🤣🤣🤣
 
Chama chetu kiliwawekea Mapingamizi Wagombea wa CUF, wote wakaenguliwa, mpambano ukawa kati ya CCMnna Vyama rafiki ikiwemo NCCR Mageuzi

Siku ya kupiga kura Wapemba wakaambiana tukisusa wataleta 'Machogo' kutoka bara kuja kupiga kura 'kwa niaba ' yetu
Cha kufanya wote wakadamka wakaenda kupiga kura ya Hapana, matokeo yake 95% ya Kura zikawa zimeharibika, Wagombea wetu wakaenda bungen kwa 5% ya kura zilizopigwa, haijapata kutokea Dunian

Observer wa kimataifa walishangazwa sana wenyewe wakiita aina mpya ya Demokrasia kuwahi kushuhudia, na mbaya zaid wale wagombea wa vyama Mamluki vya Seif Sharif wakawa wako busy kulinda kura zilizoharibika zisiibiwe hadi Matokeo yakatoka kama yalivyokuwa

Waangalizi toka UK walisema Maalim Seif alistahili tuzo ya Malkia ya 'Order of the British Empire' (OBE)

Tulirudi tumetepeta enzi hizo Katibu Mkuu wetu ni Mzee Philip Mangula, Katibu Uenezi John Chiligati,

Wa Znz kwny siri wanaweza kuwa na jambo lao mtaa mzima wakaambiana laki asiehusika hatojua…watu hatare sana
Wanayo ile tabia ya maamuzi ya pamoja. Ukikutana nao nje ya nchi zile sherehe za mwaka mpya huwa wanajikusanya katika mabweni yao.

Watu wa bara mnabaki mnasikitika hawa wenzetu vipi tena!.

Hawapendi kupoteza asili yao ingawa Ndio maana yenyewe ya umoja.
 
Na Thadei Ole Mushi.

1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia đź’Ż.

2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline ya kutosha. Kwa kumuangalia Usoni haogopeshi Ila maamuzi yake yanaogopesha Sana.

3. Kuondolewa kwa Gelasius Gasper Byakanwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ni muendelezo wa kuelekea kwenye Political reconciliation. Huyu mkuu wa Mkoa ni yule aliyevunja Green House ya Mbowe kule Hai na kupewa promotion toka kuwa mkuu wa Wilaya hadi Mkuu wa Mkoa. Kuna kitu watu hawajakielewa, Mama anataka kuyaleta makundi yote Pamoja. Kuna watu bado wapo kwenye Enzi za matumizi ya Nguvu badala ya akili. Kwa walioteuliwa Mpaka sasa kumbukeni Hili zama zimebadilika.

4. Jambo Lingine naloliona kwa sasa Mama anasikiliza Sana anaowaongoza. Hapo nyuma Kidogo watu wangeweza kupiga kelele kuhusu uadilifu wa Mtu flan lakini mamlaka ikamuacha tu as long as wanaolalamika ni wapinzani. Kwa sasa viongozi wanaoteuliwa pona yao ipo kwa wananchi... Yaani wananchi wakikuchukia utatolewa. Niwahusie wote walioteuliwa Mpaka sasa kuwa mtaji wao upo kwa wananchi. Kiwango Cha kukubalika na wananchi kitaamua umri wako kwenye nafasi uliyopewa.

5. Vipengele Muhimu katika uongozi vimeshaonekana (Power & Authority). Power uwezo wa Ku influence wengine kufanya au kutokufanya jambo flani. Cha pili ni Authority, huu ni uwezo wa kumshurutisha mtu kuacha au kufanya jambo flan "Mamlaka" ambayo kutokana na kazi yako na nafasi yako kazini unakuwa na mamlaka ya kumwamrisha wa chini yako au unaowaongoza.

Kauli Moja tu ya "Kudemka" ilitosha kunyamazisha wabunge na mijadala yao ya kumfananisha na Hayati Dkt. John Magufuli.

Ole Mushi
0712702602

View attachment 1786654
Endeleeni kupiga vigelegele kwa malkia. Watanzania tunataka actions,sio porojo tu.
 
RPC Muroto ajiangalie anaweza kuwa the next target kutokana na tabia yake ya kutaka sifa za kutisha tisha watu.
Mark my words
 
Usikute yeye mwenyewe ndo alikuwa mtoaji siri
Watu wengi hawawezi kutunza siri.
Anaweza kukuambia kuna siri yangu nataka kukuambia lakini uitunze usimwambie mtu

Sasa mtu ameshindwa kutunza kitu anachokiita siri na anampa mwingine amtunzie . Hapo ndio kazi inapoanzia
 
Hivi ni lini mtakuwa great thinkers? Yaani mnauliza kwa nini taarifa hazivuji? Sasa zinaanzaje kuvuja kwa mfano?

Mnazinguliwa na changa la macho mkiona kigogo akimsema mama vibaya?

Hamjui nini maana ya " mchawi mpe mwanao akulelee"?

Kuna maana gani ya taarifa kuziandaa yeye akazivujisha yeye?

Ukiona mtu alilazimika kufanya ziara za kushtukiza yalikuwa yamemfika shingoni. Inabidi aage anaenda bagamoyo abadilishe gia njiani aende bandari.

Bado tu bichwa zenu hazifunguki tu?
 
Back
Top Bottom