Mambo matano ya awali niliyoyaona kwa Rais Samia

Na Thadei Ole Mushi.

1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia [emoji817].

2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline ya kutosha. Kwa kumuangalia Usoni haogopeshi Ila maamuzi yake yanaogopesha Sana.

3. Kuondolewa kwa Gelasius Gasper Byakanwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ni muendelezo wa kuelekea kwenye Political reconciliation. Huyu mkuu wa Mkoa ni yule aliyevunja Green House ya Mbowe kule Hai na kupewa promotion toka kuwa mkuu wa Wilaya hadi Mkuu wa Mkoa. Kuna kitu watu hawajakielewa, Mama anataka kuyaleta makundi yote Pamoja. Kuna watu bado wapo kwenye Enzi za matumizi ya Nguvu badala ya akili. Kwa walioteuliwa Mpaka sasa kumbukeni Hili zama zimebadilika.

4. Jambo Lingine naloliona kwa sasa Mama anasikiliza Sana anaowaongoza. Hapo nyuma Kidogo watu wangeweza kupiga kelele kuhusu uadilifu wa Mtu flan lakini mamlaka ikamuacha tu as long as wanaolalamika ni wapinzani. Kwa sasa viongozi wanaoteuliwa pona yao ipo kwa wananchi... Yaani wananchi wakikuchukia utatolewa. Niwahusie wote walioteuliwa Mpaka sasa kuwa mtaji wao upo kwa wananchi. Kiwango Cha kukubalika na wananchi kitaamua umri wako kwenye nafasi uliyopewa.

5. Vipengele Muhimu katika uongozi vimeshaonekana (Power & Authority). Power uwezo wa Ku influence wengine kufanya au kutokufanya jambo flani. Cha pili ni Authority, huu ni uwezo wa kumshurutisha mtu kuacha au kufanya jambo flan "Mamlaka" ambayo kutokana na kazi yako na nafasi yako kazini unakuwa na mamlaka ya kumwamrisha wa chini yako au unaowaongoza.

Kauli Moja tu ya "Kudemka" ilitosha kunyamazisha wabunge na mijadala yao ya kumfananisha na Hayati Dkt. John Magufuli.

Ole Mushi
0712702602

View attachment 1786654
Mkuu kama haujangundua mama, hame base sana upande wa jk
Na ndo kiungo mchezaji hapo. Mama hana lolote zaidi ya fikra za mkwere
 
Ye
Na Thadei Ole Mushi.

1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia 💯.

2. Viongozi waliopo kwenye Utumishi wa Umma wawe makini Sana. Kwa muda mfupi niliomsoma Mama anataka viongozi wenye Discipline ya kutosha. Kwa kumuangalia Usoni haogopeshi Ila maamuzi yake yanaogopesha Sana.

3. Kuondolewa kwa Gelasius Gasper Byakanwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ni muendelezo wa kuelekea kwenye Political reconciliation. Huyu mkuu wa Mkoa ni yule aliyevunja Green House ya Mbowe kule Hai na kupewa promotion toka kuwa mkuu wa Wilaya hadi Mkuu wa Mkoa. Kuna kitu watu hawajakielewa, Mama anataka kuyaleta makundi yote Pamoja. Kuna watu bado wapo kwenye Enzi za matumizi ya Nguvu badala ya akili. Kwa walioteuliwa Mpaka sasa kumbukeni Hili zama zimebadilika.

4. Jambo Lingine naloliona kwa sasa Mama anasikiliza Sana anaowaongoza. Hapo nyuma Kidogo watu wangeweza kupiga kelele kuhusu uadilifu wa Mtu flan lakini mamlaka ikamuacha tu as long as wanaolalamika ni wapinzani. Kwa sasa viongozi wanaoteuliwa pona yao ipo kwa wananchi... Yaani wananchi wakikuchukia utatolewa. Niwahusie wote walioteuliwa Mpaka sasa kuwa mtaji wao upo kwa wananchi. Kiwango Cha kukubalika na wananchi kitaamua umri wako kwenye nafasi uliyopewa.

5. Vipengele Muhimu katika uongozi vimeshaonekana (Power & Authority). Power uwezo wa Ku influence wengine kufanya au kutokufanya jambo flani. Cha pili ni Authority, huu ni uwezo wa kumshurutisha mtu kuacha au kufanya jambo flan "Mamlaka" ambayo kutokana na kazi yako na nafasi yako kazini unakuwa na mamlaka ya kumwamrisha wa chini yako au unaowaongoza.

Kauli Moja tu ya "Kudemka" ilitosha kunyamazisha wabunge na mijadala yao ya kumfananisha na Hayati Dkt. John Magufuli.

Ole Mushi
0712702602

View attachment 1786654
Yeye mwenyewe ndo alikuwa anavujisha sasa unataka aendelee kuzitoa taarifa zake mwenyewe🤣🤣🤣🤣
 
Kuhusu taarifa na usiri wake naunga mkono.

Serikali ilitumia nguvu Sana kupambana na kigogo badala ya kudhibiti utokaji wa taarifa hovyo..
Yeye mwenyewe ndo alikuwa mvujishaji,sema Magu alimwamini huyu Mama,alianza kuwa anampa taarifa yule dada wa Marekani baadaye akaacha
 
Mkiu kama haujangundua mama, hame base sana upande wa jk
Na ndo kiungo mchezaji hapo. Mama hana lolote zaidi ya fikra za mkwere
Duuu, rais ni mmoja tu ambaye ni mama SSH

Sana sana JK atatoa ushauri itakapohitajika
 
Chama chetu kiliwawekea Mapingamizi Wagombea wa CUF, wote wakaenguliwa, mpambano ukawa kati ya CCMnna Vyama rafiki ikiwemo NCCR Mageuzi

Siku ya kupiga kura Wapemba wakaambiana tukisusa wataleta 'Machogo' kutoka bara kuja kupiga kura 'kwa niaba ' yetu
Cha kufanya wote wakadamka wakaenda kupiga kura ya Hapana, matokeo yake 95% ya Kura zikawa zimeharibika, Wagombea wetu wakaenda bungen kwa 5% ya kura zilizopigwa, haijapata kutokea Dunian

Observer wa kimataifa walishangazwa sana wenyewe wakiita aina mpya ya Demokrasia kuwahi kushuhudia, na mbaya zaid wale wagombea wa vyama Mamluki vya Seif Sharif wakawa wako busy kulinda kura zilizoharibika zisiibiwe hadi Matokeo yakatoka kama yalivyokuwa

Waangalizi toka UK walisema Maalim Seif alistahili tuzo ya Malkia ya 'Order of the British Empire' (OBE)

Tulirudi tumetepeta enzi hizo Katibu Mkuu wetu ni Mzee Philip Mangula, Katibu Uenezi John Chiligati,

Wa Znz kwny siri wanaweza kuwa na jambo lao mtaa mzima wakaambiana laki asiehusika hatojua…watu hatare sana

Kura za maruhan ndio kura gani Mkuu?
 
Maalim Seif alikua Genius, aliweza kuliprove hili mara nyingi mno.

Hili la kura za maruhani alilifanya pia 1985, Baada ya kufanyiwa figisu kwenye chama na kukatwa na kupitishwa mzee Abdul Wakil
 
Siku hizi kigogo ni kama sisi
Taarifa za kesho zimeminywa
Huyu mama nahisi majina anatembea nayo kwenye mkoba wake.
Hahaha! Ni kweli kabisa. Kigogo sasa hivi hana kazi. Itabidi aingie mtaani apambane na maisha kama sisi! 😂
 
1985, Hayati Sheikh Idrisa Abdul Wakeel alipata za ndiyo 14% kule Pemba na 86% zilipiga hapana,

kura zilizomsaidia hadi akawa Rais ni za Unguja ambazo zili 'dilute'za kule Pemba

Seif daaah alikuwa na Siasa hatare sana sijui aliwawezaje wale Wapemba na ubishi wao wote wakamkabidhi akili zao kwa miaka zaid ya 40

Thanks Mkuu.
 
Pohamba

una kumbukumbu mujarabu sana katika mambo haya.

mkuu ukimwacha Mohamed Said unafuatia kwa kujaza vifusi vya maarifa katika mashimo ya historia ya nchi hizi mbili.

unatujena vyema siye wanasiasa wachanga na chipukizi.

unawezaje kukumbuka vitu vyote hivi kwa ufasaha?
 
1985, Hayati Sheikh Idrisa Abdul Wakeel alipata za ndiyo 14% kule Pemba na 86% zilipiga hapana,

kura zilizomsaidia hadi akawa Rais ni za Unguja ambazo zili 'dilute'za kule Pemba

Seif daaah alikuwa na Siasa hatare sana sijui aliwawezaje wale Wapemba na ubishi wao wote wakamkabidhi akili zao kwa miaka zaid ya 40

Wapemba ni watu watata na wabishi sana lakini walisarenda moja kwa moja kwa Maalim seif, huwezi amini Kariakoo na kule Darajani Unguja palikua na kodi zinakwenda ndani CUF kama vile TRA tena bila ya ushurutishwaji, mbali na Oman na U.K
CCM hawawezi kumsahau daima Maalim Seif, Jamaa kawavuruga sana kwa miaka mingi sana.

ACT wana hali ngumu sana kuwaweza wapemba bila ya Maalim Seif, na ndio mana Babu Duni, Jussa na Mazurui wameplay move ya kumueka yule Mpemba kwenye Umakamo wa Rais, na wanampromote sana sasa hivi kwa wapemba. Wanafahamu vizuri ku wa manage wapemba sio jambo lamasihara.
 
Hivi huwa inakuwaje hapa kama huyo RC alikuwa ziarani somewhere na tangazo linamkuta njiani na bendera, na nyumbani je nako anahama siku hiyohiyo, maana miungu watu huwa wanaona kama hawatakuwa na kikomo
Ataendelea kua RC hadi pale mteule mpya atakapo apishwa na kuripoti kituoni kwake na kumkabidhi ofisi
 
Siku hizi kigogo ni kama sisi
Taarifa za kesho zimeminywa
Huyu mama nahisi majina anatembea nayo kwenye mkoba wake.
Utawala uliopo sasa ni wa kina kigogo. Infact, ni utawala ambao wanauunga mkono. Sasa watafute kuvujisha siri za nini wakati na wao wanashiriki kupanga Serikali. Inawezekanaje mtu kuvujisha siri zako mwenyewe.

Mission is accomplished, there is no other mission. Sasa hivi tunajadili mipira tu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom