mambo gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Haya mambo mambo gani na mimi niyajue nikonde?

    "Haya mambo ya nchi hii ukiyajua unaweza kufa kwa presha ndo maana mimi nakonda kila siku, kwasababu unawaangalia unasema hawa ni banadamu wa kawaida au wamelogwa alafu unakuta kamtu kanakonyonywa na wachache wenye nchi anashangilia mimi ni CCM unashangilia hapa ili matajiri wachache wafaidike "...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo gani mazuri ya kuvutia katika ndoa ambayo mke anamzidi umri mume?

    Priyanka Chopra Jonas (miaka 43) na mume Wake Nicholas Jonas (miaka 32)
  3. ISO M.CodD

    JamiiForums Tanzania Fact Check: Anaposema "hata huko yanatokea" anamaanisha mambo gani yanatokea wapi?

    Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu. Are we not comparing apples to oranges? Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi katika mazingira sawa na yaliyotokea Tanzania? Na je, uwajibikaji baada ya matukio hayo unafanana...
  4. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wanajadili mambo gani hapo msibani hapo Kenya kwa RAO?

    Naowaona wako busy tu na simu zao huku watu wengine wakiwa makini kusikiliza maudhui ya msiba. Hebu angalia picha yao hapa chini.
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania CRDB hii siyo haki. Ndo mambo gani haya?

    Hivi hii benki imekuwaje siku hizi? Huu sasa ni wizi na watu wana kila sababu ya kuamini mnawaibia pesa zao. Jamaa wamekwangua hela yangu yote na wakabakisha Tsh.0.01. Acheni kucheza na hela za watu bana. Rudisheni hela za wote mliowaibia. Mnachofanya ni wizi wa wazi wazi kabisa na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Hi people, Happy weekend!! Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi? Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back) Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
  7. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

    Kwema wakuu Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Back
Top Bottom