Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,163
- 27,418
Kwanini?Hapa sisemi kitu🙏
Kwanini?Hapa sisemi kitu🙏
Issue ya dini ni sensitive sana n kuamini mambo yanayonekana dhahiri na yasio onekana ndio maana ya imaniMimi kitu ambayo mpk Leo inanishangaza ni kuwa if religion is not a trap, kwanini hakuna tangibility ya matokeo rasmi ambayo mwamini anapaswa kuyafanya ili anacho kutaka kiweze kutokea? Ili ufanikiwe inapaswa kuwa expert on your craft, haya kwenye religion imekaa kama kuamini kitu ambacho basically hakipo. What if religion is just a gateway to knowing thyself?
We acha tu aiseeKwanini?
Nimekuelewa kuhusu kumezeshwa.. but just because kitu hakina majibu Kwa Sasa, basi ndo tuchimbie vichwa vyetu chini, tukate tamaa na kuishi katika nihilism. Noo, kama binadamu tumekuja hapa kujua Nia yetu hasa, to know ourselves. That's what we long for. Mimi binafsi lazima nitafute ukweli kwa hali na mali. Ndo maana napenda kuuliza deep existential questions.Issue ya dini ni sensitive sana n kuamini mambo yanayonekana dhahiri na yasio onekana ndio maana ya imani
Lakini kila kitu kina mapokeo yake namna ulivyofundishwa na ulivyopokea hayo mafunzo
Kwa umri wetu sisi sasa hivi tumejua hiki ni kibaya hiki ni kizuri baada ya kuelekezwa
Wakati unakua unaambiwa usitembee uchi ni aibu unakua nayo hiyo mpka ukiwa mtu mzima na hata dini ni mambo tumemezeshwa baada ya kuzaliwa kua Mungu yupo na njia zake ni hizi tukalibeba kama tulivyoambiwa na tukaamini
So kwenye huu umri wa kuchambua mambo tunaanza kufikiria zaidi na kutaka kujua zaidi lakini ukweli ni kwamba hakuna majibu ya moja kwa moja kuhusu dini
Kinachobaki sasa ni wewe kuchagua upande unaaona unafaa na utulie nao wakati unangoja kifo chako
Mmh ni Siri au?We acha tu aisee
Endelea kuchimba bro mimi nilishachimba sanaNimekuelewa kuhusu kumezeshwa.. but just because kitu hakina majibu Kwa Sasa, basi ndo tuchimbie vichwa vyetu chini, tukate tamaa na kuishi katika nihilism. Noo, kama binadamu tumekuja hapa kujua Nia yetu hasa, to know ourselves. That's what we long for. Mimi binafsi lazima nitafute ukweli kwa hali na mali. Ndo maana napenda kuuliza deep existential questions.
Ukweli upo ndani ya kila mmojaJe, Kwa mantiki hiyo ambayo umeelezea kuwa tulimezeshwa, je do you think kuwa dini is nothing but a thought, a projection. Na maybe ukweli uko ndani ya Kila mmoja wetu?
YesMmh ni Siri au?
Tag me pls.Endelea kuchimba bro mimi nilishachimba sana
Kuna uzi wangu title inasema Je Mungu hana upendeleo nitaenda ni ku tag kama hutauona
Hayo maswali yote mimi nilishauliza na nilishajiuliza na tayali nimechagua upande na still naendelea kujifunza
Ukweli upo ndani ya kila mmoja
Wewe unajua unachoamini kuna kitu natamani nikwambie ila text time
Niambie hata Kwa pm, huenda ukawa unajua kile I've been searching my whole life.
OkTag me pls.
Next time nitakwambia not nowAnd what is it? Niambie Sasa am ready to hear that
I'm not sure if it's trueNiambie hata Kwa pm, huenda ukawa unajua kile I've been searching my whole life.
Which truth are you talking about?I'm not sure if it's true
Nije PM kwamba naweza kua najua unachokitafuta😅Which truth are you talking about?
Come on, my g umeshaanza kufikri downsideNije PM kwamba naweza kua najua unachokitafuta😅
I didn't even think about that 🤣Come on, my g umeshaanza kufikri downside
You did, na najuta nimei phrase vibaya.I didn't even think about that 🤣
Kijana🤣You did, na najuta nimei phrase vibaya.
Don't forget we're not miles away from becoming couple. Au cio my gKijana🤣
Why do you think so?Don't forget we're not miles away from becoming couple. Au cio my g
Well that's what I like in youWhy do you think so?
You can't fool me I'm quite inquisitive and a little naughty😎