ulimwengu wa giza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya kiroho kwenye ulimwengu wa giza

    1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili, jambo hili linajidhihirisha kupitia matukio yasiyoelezeka ya vifo vya ghafla au ajali mfululizo...
  3. Surya

    JamiiForums Tanzania Uchawi ni nini? (Roho, Nafsi, Mwili)

    Nitajitahidi nitumie lugha ya kiswahili, waswahili wote tuelewane vizuri.. pia nitajitaidi nitumie maneno machache kufikisha ujumbe au elimu kubwa na pana kumuhusu Binadamu na uchawi au ushirikina (Shiriki) Kwanza unatakiwa ujue wakati Mungu anamuumba mtu hapa duniani haikuwa kazi yake au...
  4. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

    Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu. Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuzungumza na majini na viumbe wengine katika ulimwengu wa pepo

    UTANGULIZI Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo. Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo. Mtu anapozaliwa tunaanza kumfundisha mambo ambayo anayaona kwa damu na nyama. Kwahiyo elimu kubwa...
Back
Top Bottom