Mambo 2 yanayotatanisha kwenye hoja za viongozi wote wa Chadema waliojiuzulu na yanayowaumbua

Kujitambua kunaweza kukufanya kila siku uonekane shujaa!. Mimi sina ugomvi na wachaga lakini ninachokifahamu juu ya hawa ndugu zangu:- 1. Wachaga wanajua kuinuana, 2. Wajua kutumia furasa zilizopo. HOJA yangu ni kwamba kutokana na utamaduni wa kuinuana ndo utakuta kila baa ya mchawga haiwezi kuuza maji ya kampuni nyingine yeyote ispokua kilimanjaro tu, pia kila ifikapo saa 2:00 usiku ni shelia kuweka itv kuangalia taalifa ya habari, jingine matangazo ya vfo radio one wanakufa wakina kimaro tu!. KHOFU YANGU kutokana na kasumba hizo kunauwekano hawa wanaotimuliwa wanaingilia maslahi ya watu ndo sababu huwezi kuskia MSALITI, MUHAINI kutoka katika familia ya hawa ndugu zetu. Ni hoja nyepesi yenye fikra kubwa. chukua hatua!!!......
 
Aweda unanikumbusha Lisa cha mtu kukimbia kivuli chake. WAMELALAMIKIA UDIKTETA NA UFISADI CHDM Makao MAKUU. Usitutoe kwenye Mada kwa kuleta hoja dhaifu ya Maneno kufanana. Pitia tena matamko yote utaona tofauti iliyopo

cc Michael p aweda.
 
Last edited by a moderator:
mkuu @Mikael P. Aweda kwanza napenda kukueleza kuwa yawezekana kuwa wanatumiwa na CCM, lakini umeshawahi kukaa na kufikiri kuwa kwanini mtu kama Mwenyekiti wa mkoa Singida, ambaye amejitolea kwa hali na mali ili CDM isonge mbele, Nyumba yake, sanduku la posta, na hata resource nyingine, leo hii awe ametumiwa na CCM? Kuna push factors gani ambazo zimepelekea hilo.
Tafakari! Chukua hatua

Watu wengine wanaingia na kuwekeza na wakiona hakuna kitu wanatafuta sababu .Lukosi is here aliwekeza na alipopata dau akijua Chadema hakuna lolote alienda CCM .Kwa hali na mali Chadema Singida ingalikuwa na Halmshauri au hata yeye mwenyewe kuwa Diwani wa Chadema ndiyo hali na mali mengine maneno tu , sanduku la Posta is not an issue , nyumba yake ni ujanja wa kutaka kuonwa yupo , ila mtu kama naweza kumpima kwma ame deliverer kama Mwenyekiti ku hold title for years ndiyo nini .Wako wengi wamefanya mengi na wanafanya Chadema lakini hawana vyeo wala hawako kujulikana na wako kimya .
 
mkuu hapo kwenye red! .............. Hapo ndipo mchezo ulipo. Inashangaza lakini kwa kutia moyo kwamba wanaotoa fedha kwa ajili ya kuwapa viongozi wa chadema, kwa kutoakujua ama kwa makusudi tu wameamua kuwapa fedha watu ambao kimsingi siyo viongozi wa chadema, ama hata vyeo vingine havijawahi kuwepo ndani ya chadema, kwa mfano cheo cha mwenyekiti wa matawi ya chadema?????? This is an absolute jokes kwa watanzania wanaofikiri vizuri!

Haiingii akilini uvccm wanaamua kuvaa viatu wanawawakilisha wanachama wa chadema wanaomuunga mkono zitto (sina hakika kama wapo), kuanzia kuandaa matamko, kuandaa maandamano na vitisho vya kila aina...

Tunatambua kuwa kazi hii yote zitto kabwe amemkabidhi kwa maswahiba wa chama chake cha ccm anachokiwakilisha kukiua chadema (atashindwa vibaya).

Kwa haraka haraka utagundua wanaoratibu upuuzi wote huu ni uvcc hawa;
  1. mtela mwampamba
  2. habib mchange
  3. grayson nyakarungu

leo walikuwa wamejipanga kuandaa maandamano pale amazon hotel arusha, maandamano ya kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chadema iliyowavua zitto kabwe, kitila na mwigamba. Chakufurahisha sana ni kwamba walioandaa yale maandamano ambayo hata hivyo yalifeli ni wanachama wa ccm mboya, mfinananga na rehema.

Zitto anapendwa sana na wanaccm, lakini hawataki atoke chadema kuna nini?

mkuu mbona unajifanya kama ukuona hoja za walio amua kujiuzulu?hebu zijibu. Au wote ni wasaliti na ni waongo?
 
Kujitambua kunaweza kukufanya kila siku uonekane shujaa!. Mimi sina ugomvi na wachaga lakini ninachokifahamu juu ya hawa ndugu zangu:- 1. Wachaga wanajua kuinuana, 2. Wajua kutumia furasa zilizopo. HOJA yangu ni kwamba kutokana na utamaduni wa kuinuana ndo utakuta kila baa ya mchawga haiwezi kuuza maji ya kampuni nyingine yeyote ispokua kilimanjaro tu, pia kila ifikapo saa 2:00 usiku ni shelia kuweka itv kuangalia taalifa ya habari, jingine matangazo ya vfo radio one wanakufa wakina kimaro tu!. KHOFU YANGU kutokana na kasumba hizo kunauwekano hawa wanaotimuliwa wanaingilia maslahi ya watu ndo sababu huwezi kuskia MSALITI, MUHAINI kutoka katika familia ya hawa ndugu zetu. Ni hoja nyepesi yenye fikra kubwa. chukua hatua!!!......

kamati kuu wako 32 jumla. Hivi unajua kuwa wachaga ni wangapi huko? Ukijua idadi yao itakuwa ni aibu kubwa sana kwako. Sitetei hilo kwa ushabiki, sitoki Arusha wala Moshi, tuache ushabiki wa kikabila huko mbele tutaharibu mustakabali wa nchi yetu.
 
Mwenyekiti wa Singida hamumjuwi? na namba zake kaweka na kasema mnatumia anuani yake, na nyumba yake mmeitumia kwa miaka nenda miaka rudi akijibana na wanawe. Hayo yote kaandika Mwigulu?

Wacheni uongo. Uongo ndio unaowapeleka pabaya. Siasa za uongo zilikuwa wakati ule wa Nyerere, watu walikuwa hawana pa kupatia habari, wanachoambiwa wanakubali iwe kweli iwe uongo.

Sasa dunia ni ndogo, hata misukule wenu wameanza kuwastukia. Nyie bado tu hamjajistukia kwa uongo wenu? mnanshangaza!
 
Intelijensia ya Chadeema haijawakamata hao watu? tumekuwa tukiaminishwa humu kuwa CHADEMA ina intelijensia kali kuliko ta TISS imekuwaje sasa intelijensia imefeli?
 
Huu ni Ujumbe wa Bob Marley kwa Watu wenye Roho mbaya kama Mbowe, NIKISIKILIZA WIMBO HUU NAONA JIBU LA KAMANDA ZITTO KWA VILAZA WANAOMUANDAMA

"Bad Card"

You a-go tired fe see me face;
Can't get me out of the race.
Oh, man, you said I'm in your place
And then you draw bad cyard -
A-make you draw bad cyard,
And then you draw bad cyard.

Propaganda spreading over my name;
Say you wanna bring another life to shame.
Oh, man, you just a-playing a game
And then you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard.

I want to disturb my neighbour,
'Cause I'm feelin' so right;
I want to turn up my disco,
Blow them to full watts tonight, eh! -
In a rub-a-dub style, in a rub-a-dub style,
In a rub-a-dub style, in a rub-a-dub style.

'Cause we guarding the palace so majestic;
Guarding the palace so realistic!

Them a-go tired to see we face (oh yeah!),
Me say them can't get we out of the race;
Oh, man, it's just a big disgrace.
The way you draw bad cyard (draw bad cyard);
The way you make wrong moves (make wrong moves);
The way you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard -
In a rub-a-dub style, rub-a-dub style,
In a rub-a-dub style - [fadeout]
bob namheshimu sana na mimi ni fan wa huu wimbo, lakini naona umeutumia vibaya huu wimbo.:tape:
 
Aweda,

Uchambuzi wako una chembe chembe fulani zinazoamsha hisia zangu kwenye upekuzi zaidi. Asante.

Obviously, CCM wamekwishashindwa vita hii pia.

CCM wanachowezi ni ufisadi, ubakaji, uongo na uharamia tu. Hawawezi vita vya IT, majukwaani, sera, ubora wa huduma, uwajibikaji wala yenye kufanana na hayo.

CHADEMA inasonga mbele. Wasaliti na wapambe wao waendlee kutumbua pesa za magamba tu.
 
AWEDA pamoja sana mkuu, magamba wamesahau kutimiza ahadi zao walizotoa kwenye kampeni wanajadili CHADEMA tumewashika pabaya, watasanda tu.
 
Why so critical now when zzk pulls out? What is the interest of the pundits going out of chadema? What is the motive behind this? It seems ccm wants to survive by all costs at the expense of democracy.
 
Kaka kwa hili CHADEMA wanakosea na walifanya makosa sana kuwa kumvua Zitto na linaleta picha mbaya sana na kiukweli kama viongozi watafanya na kuziba maskio yao hali itakuwa mbaya sana katika siku za usono
 
Kujitambua kunaweza kukufanya kila siku uonekane shujaa!. Mimi sina ugomvi na wachaga lakini ninachokifahamu juu ya hawa ndugu zangu:- 1. Wachaga wanajua kuinuana, 2. Wajua kutumia furasa zilizopo. HOJA yangu ni kwamba kutokana na utamaduni wa kuinuana ndo utakuta kila baa ya mchawga haiwezi kuuza maji ya kampuni nyingine yeyote ispokua kilimanjaro tu, pia kila ifikapo saa 2:00 usiku ni shelia kuweka itv kuangalia taalifa ya habari, jingine matangazo ya vfo radio one wanakufa wakina kimaro tu!. KHOFU YANGU kutokana na kasumba hizo kunauwekano hawa wanaotimuliwa wanaingilia maslahi ya watu ndo sababu huwezi kuskia MSALITI, MUHAINI kutoka katika familia ya hawa ndugu zetu. Ni hoja nyepesi yenye fikra kubwa. chukua hatua!!!......

1. Maji ya kilimanjaro ndio maji bora TZ, sio bar tu hata mahoteli ya kitalii na mikutanni utayakuta. Je wewe ulitaka maji gani?
2. Matangazo ya vifo sio bure ni ya kulipia.
3. Itv na radio one ni arguably the best in TZ.
Je wewe ulitaka waweke stations gani?

Hii chuki ya ukabila itakuja kuleta maafa
 
utata juu ya wote waliojiuzulu chadema
.

Mimi kwenye Elimu ya shule za secondary mpaka high school na kuendelea niliopt kusoma masoma ya arts ikiwepo Lugha nk. kwa mantiki hiyo, nikichukua tamko la M/kiti wa Temeke, nikilinganisha na M/kiti Feki wa matawi ya Chadema mwanza, halafu nikiMalizia na m/kiti wa mkoa Singida na wengineo akiwepo Chatanda kama wewe ni mtaalam wa Lugha utagundua mambo yafuatayo.

Mosi, Staili ya uandishi kuanzia kichwa cha habari fonti inayotumika, upangaji wa aya mfumo wa uwasilishaji hoja au kwa ujumla tunasema staili ya uandishi ni ya mtu moja tu. Swali ni kwa nini na mtu huyo ni nani?

Pili, Hoja au tuhuma zinazotolewa zinafanana na msisitizo wake pia unafanana sana kiasi kwamba mwandishi huyo siyo mzuri hata wa kubadilisha lugha ili afiche malengo yake. Je kwanini na nani???

Tatu, kuanzia press kubwa ya Dsm, uchomaji wa ofisi za Chadema Arusha, Tamko la Mwanza na Singida nyuma yake utawakuta UVCCM wakiratibu. swali ni kwa nini na kwa ufadhili na mwongozo wa nani??

Nne, leo nimepata mahali taarifa zisizo rasmi kuwa kuna fungu la Sh mil 5 na kuendelea za kuwapa viongozi wa chadema nchi nzima. Sasa sina hakika kama hawa waliotangaza uamuzi wa kujiuzulu wamefikiwa na mafungu ya ccm au ni dhamiri zao. Time will tell.

Kwa kuhitimisha, matamko haya kuandikwa na mtu moja na kusomwa na watu wengine, pengine kwa kulipwa fedha kama fununu zinavyodai, kufanana kwa hoja za wanaojiuzulu na uwepo wa uvccm nyuma ya mikakati hiyo, kunanifanya niamini kuwa huu ni mchezo wa intelijensia fulani feki ambayo kiukweli ni mchezo wa danganya toto.- hadanganyiki mtu hapa.

Akili za kuambiwa nikichanganya na zangu, napata jawabu kuwa huu ni mkakati wa ccm. Chadema tutuvuka haya majaribu ni madogo sana kwangu. Aluta continua.

Hii hoja ya mdau nayo ina mashiko ukiunganisha dots ya malalamiko ya Mwigulu Fb.

Kweli Kaka hii staili yao ni ya kuadanganya watoto wa "sunday school"Hivi hata hawashtuki kwamba watu wameshaashtukia na hii staili yao?Unawezaje kumpigia debe adui yako,wakati anakupa wakati mgumu?Si walitakiwa kufurahia badala ya kuumia?Katika pitapita yangu mtaani nimekuta watu wakiulizana "Hivi huyu Zitto ni CCM eee?"Mbona watetezi wake wengi ni CCM?Kulikoni?
 
Zitto anapendwa sana na wanaCCM, lakini hawataki atoke CHADEMA kuna nini?
Zitto, kwa nini umeng'ang'ania CHADEMA wakati unaitumikia CCM na wote tunajua? Kuna siri yoyote tusiyoijua kuhusu wewe na Mchange; wewe na stela mwampamba, nyakarungu, eddo, deo, shonza, mwakajila n.k.? Wanaokupenda wako CCM wafuate...
 
Kaka kwa hili CHADEMA wanakosea na walifanya makosa sana kuwa kumvua Zitto na linaleta picha mbaya sana na kiukweli kama viongozi watafanya na kuziba maskio yao hali itakuwa mbaya sana katika siku za usono
Acha nidhamu ya woga!
 
Back
Top Bottom