Mambo 2 yanayotatanisha kwenye hoja za viongozi wote wa Chadema waliojiuzulu na yanayowaumbua

Ulichokisema kamanda ni kweli kabisa.Wote wanaofanya huu upumbavu ni walala njaa wa ccm ambao kwao wakishafanya upumbavu huu, hurudi kwa mabwana zao ili walipwe ujira wao.Hakuna dhambi mbaya kama njaa ya kutumika ili kuharibu juhudi mbadala za kuwakomboa watanganyika wanaoishi maisha ya kifukara bila sababu ya msingi wakati wana rasilimali nyingi zisizowasaidia kutoka katika ufukara huo.Pamoja na juhudi zote hizi za kujaribu kudhoofisha harakati hizi za ukombozi lakini ukombozi lazima utapatikana tu.
utata juu ya wote waliojiuzulu chadema
.

Mimi kwenye Elimu ya shule za secondary mpaka high school na kuendelea niliopt kusoma masoma ya arts ikiwepo Lugha nk. kwa mantiki hiyo, nikichukua tamko la M/kiti wa Temeke, nikilinganisha na M/kiti Feki wa matawi ya Chadema mwanza, halafu nikiMalizia na m/kiti wa mkoa Singida na wengineo akiwepo Chatanda kama wewe ni mtaalam wa Lugha utagundua mambo yafuatayo.

Mosi, Staili ya uandishi kuanzia kichwa cha habari fonti inayotumika, upangaji wa aya mfumo wa uwasilishaji hoja au kwa ujumla tunasema staili ya uandishi ni ya mtu moja tu. Swali ni kwa nini na mtu huyo ni nani?

Pili, Hoja au tuhuma zinazotolewa zinafanana na msisitizo wake pia unafanana sana kiasi kwamba mwandishi huyo siyo mzuri hata wa kubadilisha lugha ili afiche malengo yake. Je kwanini na nani???

Tatu, kuanzia press kubwa ya Dsm, uchomaji wa ofisi za Chadema Arusha, Tamko la Mwanza na Singida nyuma yake utawakuta UVCCM wakiratibu. swali ni kwa nini na kwa ufadhili na mwongozo wa nani??

Nne, leo nimepata mahali taarifa zisizo rasmi kuwa kuna fungu la Sh mil 5 na kuendelea za kuwapa viongozi wa chadema nchi nzima. Sasa sina hakika kama hawa waliotangaza uamuzi wa kujiuzulu wamefikiwa na mafungu ya ccm au ni dhamiri zao. Time will tell.

Kwa kuhitimisha, matamko haya kuandikwa na mtu moja na kusomwa na watu wengine, pengine kwa kulipwa fedha kama fununu zinavyodai, kufanana kwa hoja za wanaojiuzulu na uwepo wa uvccm nyuma ya mikakati hiyo, kunanifanya niamini kuwa huu ni mchezo wa intelijensia fulani feki ambayo kiukweli ni mchezo wa danganya toto.- hadanganyiki mtu hapa.

Akili za kuambiwa nikichanganya na zangu, napata jawabu kuwa huu ni mkakati wa ccm. Chadema tutuvuka haya majaribu ni madogo sana kwangu. Aluta continua.
 
Watanzania inawabidi wawe makini sana na watu ambao wanadhoofisha demokrasia kwa fedha walizoziiba.
CCM imeacha jukumu laki la msingi nakuamua kuiparanganya demokrasia kwa kufadhili udhoofishaji upinzani!Wao watapona?
Mwenye akili timamu anabaini kinachoendelea,tatizo linakuja hao wanaonunuliwa kwa fedha kidogo.2015 watavuna wanachokipanda
 
Unajua watu kama wewe ndo mnastahili kufungwa jiwe shingoni na kutumbukizwa katikati ya bahari. Hapa mambo ya uchaga yanatoka wapi. mimi siyo mchaga lakini kwa nini unaingiza uchaga hapa. Nina mashaka sana na weledi wako

Mpuuzi mpuuzie mkuu, mtu yeyote anayehubiri udini, ukabila na ukanda ni zaidi ya -------- and should be wiped from the face of mother earth.
 
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... HAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...

Mkuu wewe waache tena wanaopiga ukabila makabila yao hayatakuja kujitutumua ktk ushindani wa kikabila.Heri yetu sisi wasukuma tunajeuri ya utajiri wa ng'ombe na wingi wetu, wachaga watajibeba kwa usomi na uwekezaji.Wengine mnalo endeleeni kupiga debe mtajuta.Nitaendelea kuwaonya kuwa siku wasukuma wakikaa pale hamtutoi magogoni tutakuwa tunarithishana.Chezea ukabila, waulize wajaruo huko kenya Raila ni presidential material lakini wakikuyu hawajui hilo, hadi wamekubali kuweka mtuhumiwa wa ICC ili mradi mtu wa kabila lao. wait and you'll see if not witness
 
Wote waliokengeuka watarudi kwenye mstari TU, ila waliokamatwa na NGOZI ndio wezi sweka segerea wale. CHADEMA TAMU bana hata kutamka tu YATOSHA

Mana wanachadema mda huu mmekuwa kama wagonjwa wenye ukimwi mkijifariji mtapona..Haizekani kirusi ndo kishaingia hakitoki ng'o. R.I.P Chadema.
 
utata juu ya wote waliojiuzulu chadema
.

mimi kwenye elimu ya shule za secondary mpaka high school na kuendelea niliopt kusoma masoma ya arts ikiwepo lugha nk. Kwa mantiki hiyo, nikichukua tamko la m/kiti wa temeke, nikilinganisha na m/kiti feki wa matawi ya chadema mwanza, halafu nikimalizia na m/kiti wa mkoa singida na wengineo akiwepo chatanda kama wewe ni mtaalam wa lugha utagundua mambo yafuatayo.

mosi, staili ya uandishi kuanzia kichwa cha habari fonti inayotumika, upangaji wa aya mfumo wa uwasilishaji hoja au kwa ujumla tunasema staili ya uandishi ni ya mtu moja tu. Swali ni kwa nini na mtu huyo ni nani?

pili, hoja au tuhuma zinazotolewa zinafanana na msisitizo wake pia unafanana sana kiasi kwamba mwandishi huyo siyo mzuri hata wa kubadilisha lugha ili afiche malengo yake. Je kwanini na nani???

tatu, kuanzia press kubwa ya dsm, uchomaji wa ofisi za chadema arusha, tamko la mwanza na singida nyuma yake utawakuta uvccm wakiratibu. Swali ni kwa nini na kwa ufadhili na mwongozo wa nani??

nne, leo nimepata mahali taarifa zisizo rasmi kuwa kuna fungu la sh mil 5 na kuendelea za kuwapa viongozi wa chadema nchi nzima. Sasa sina hakika kama hawa waliotangaza uamuzi wa kujiuzulu wamefikiwa na mafungu ya ccm au ni dhamiri zao. Time will tell.

kwa kuhitimisha, matamko haya kuandikwa na mtu moja na kusomwa na watu wengine, pengine kwa kulipwa fedha kama fununu zinavyodai, kufanana kwa hoja za wanaojiuzulu na uwepo wa uvccm nyuma ya mikakati hiyo, kunanifanya niamini kuwa huu ni mchezo wa intelijensia fulani feki ambayo kiukweli ni mchezo wa danganya toto.- hadanganyiki mtu hapa.

Akili za kuambiwa nikichanganya na zangu, napata jawabu kuwa huu ni mkakati wa ccm. Chadema tutuvuka haya majaribu ni madogo sana kwangu. Aluta continua.

yani wewe badala ya kujibu hoja wewe una hoji font? Let say wameandikiwa kuna tatizo gani?hivi unashangaa nini?

Twambie kama awajajiuzulu hili ueleweke.
Awajajiuzulu?

Kama hoja zao zina fanana kuna tatizo gani,je hizo hoja ni za uongo zote? Kama wote wameona hizo kuna tatizo?

Kama una ushahidi uvccm kuhusika kwenye uhalifu huo kwanini usipeleke ushahidi polisi?

Jibuni hoja acheni kutafuta mchawi subirini kesho au kesho kutwa mwingine ana mwaga mboga mbaki kusingizia ccm.
 
Sawa wewe si Mchagga lkn meno yako yameoza,Mwenyekiti wa Singida alijitolea Nyumba yake kuwa ofisi tokea 1992,sasa mlioni 5 kitu gani ? huna adabu wewe, huyu sawasawa na baba yako.Mkanda mkubwa wewe!!!!!ebo!!!!!

Hata yuda alijitoa sana kwa YESU na mwisho alimsaliti kwa kumbusu.Mamluki huwa na tabia za kujitoa sana ili wasigundulike mapema.buriani zzk
 
utata juu ya wote waliojiuzulu chadema
.

Mimi kwenye Elimu ya shule za secondary mpaka high school na kuendelea niliopt kusoma masoma ya arts ikiwepo Lugha nk. kwa mantiki hiyo, nikichukua tamko la M/kiti wa Temeke, nikilinganisha na M/kiti Feki wa matawi ya Chadema mwanza, halafu nikiMalizia na m/kiti wa mkoa Singida na wengineo akiwepo Chatanda kama wewe ni mtaalam wa Lugha utagundua mambo yafuatayo.

Mosi, Staili ya uandishi kuanzia kichwa cha habari fonti inayotumika, upangaji wa aya mfumo wa uwasilishaji hoja au kwa ujumla tunasema staili ya uandishi ni ya mtu moja tu. Swali ni kwa nini na mtu huyo ni nani?

Pili, Hoja au tuhuma zinazotolewa zinafanana na msisitizo wake pia unafanana sana kiasi kwamba mwandishi huyo siyo mzuri hata wa kubadilisha lugha ili afiche malengo yake. Je kwanini na nani???

Tatu, kuanzia press kubwa ya Dsm, uchomaji wa ofisi za Chadema Arusha, Tamko la Mwanza na Singida nyuma yake utawakuta UVCCM wakiratibu. swali ni kwa nini na kwa ufadhili na mwongozo wa nani??

Nne, leo nimepata mahali taarifa zisizo rasmi kuwa kuna fungu la Sh mil 5 na kuendelea za kuwapa viongozi wa chadema nchi nzima. Sasa sina hakika kama hawa waliotangaza uamuzi wa kujiuzulu wamefikiwa na mafungu ya ccm au ni dhamiri zao. Time will tell.

Kwa kuhitimisha, matamko haya kuandikwa na mtu moja na kusomwa na watu wengine, pengine kwa kulipwa fedha kama fununu zinavyodai, kufanana kwa hoja za wanaojiuzulu na uwepo wa uvccm nyuma ya mikakati hiyo, kunanifanya niamini kuwa huu ni mchezo wa intelijensia fulani feki ambayo kiukweli ni mchezo wa danganya toto.- hadanganyiki mtu hapa.

Akili za kuambiwa nikichanganya na zangu, napata jawabu kuwa huu ni mkakati wa ccm. Chadema tutuvuka haya majaribu ni madogo sana kwangu. Aluta continua.

Mkuu hapo kwenye RED! .............. hapo ndipo mchezo ulipo. Inashangaza lakini kwa kutia moyo kwamba Wanaotoa fedha kwa ajili ya kuwapa viongozi wa chadema, kwa kutoakujua ama kwa makusudi tu wameamua kuwapa fedha watu ambao kimsingi siyo viongozi wa chadema, ama hata vyeo vingine havijawahi kuwepo ndani ya chadema, kwa mfano Cheo cha mwenyekiti wa matawi ya chadema?????? This is an absolute jokes kwa watanzania wanaofikiri vizuri!

Haiingii akilini uvccm wanaamua kuvaa viatu wanawawakilisha wanachama wa chadema wanaomuunga mkono Zitto (sina hakika kama wapo), kuanzia kuandaa matamko, kuandaa maandamano na vitisho vya kila aina...

Tunatambua kuwa kazi hii yote Zitto Kabwe amemkabidhi kwa maswahiba wa chama chake cha CCM anachokiwakilisha kukiua CHADEMA (atashindwa vibaya).

Kwa haraka haraka utagundua wanaoratibu upuuzi wote huu ni UVCC hawa;
  1. Mtela Mwampamba
  2. Habib Mchange
  3. Grayson Nyakarungu

Leo walikuwa wamejipanga kuandaa maandamano pale Amazon Hotel Arusha, maandamano ya kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chadema iliyowavua Zitto Kabwe, Kitila na Mwigamba. Chakufurahisha sana ni kwamba walioandaa yale maandamano ambayo hata hivyo yalifeli ni wanachama wa CCM Mboya, Mfinananga na Rehema.

Zitto anapendwa sana na wanaCCM, lakini hawataki atoke CHADEMA kuna nini?
 
Aweda unanikumbusha Lisa cha mtu kukimbia kivuli chake. WAMELALAMIKIA UDIKTETA NA UFISADI CHDM Makao MAKUU. Usitutoe kwenye Mada kwa kuleta hoja dhaifu ya Maneno kufanana. Pitia tena matamko yote utaona tofauti iliyopo
 
Wewe boot licker.. unatumiwa na wachagga! Wenzako wamejitambua, wamejitoa kwenye mtandao!

Kiwango au ukubwa tusi lako kwangu inaonesha kiwango cha ukali wa sindano ya hoja yangu kwako. Ni ishara ya mimi kuendelea na hoja kama hizi. Thank you
 
utata juu ya wote waliojiuzulu chadema
.

Mimi kwenye Elimu ya shule za secondary mpaka high school na kuendelea niliopt kusoma masoma ya arts ikiwepo Lugha nk. kwa mantiki hiyo, nikichukua tamko la M/kiti wa Temeke, nikilinganisha na M/kiti Feki wa matawi ya Chadema mwanza, halafu nikiMalizia na m/kiti wa mkoa Singida na wengineo akiwepo Chatanda kama wewe ni mtaalam wa Lugha utagundua mambo yafuatayo.

Mosi, Staili ya uandishi kuanzia kichwa cha habari fonti inayotumika, upangaji wa aya mfumo wa uwasilishaji hoja au kwa ujumla tunasema staili ya uandishi ni ya mtu moja tu. Swali ni kwa nini na mtu huyo ni nani?

Pili, Hoja au tuhuma zinazotolewa zinafanana na msisitizo wake pia unafanana sana kiasi kwamba mwandishi huyo siyo mzuri hata wa kubadilisha lugha ili afiche malengo yake. Je kwanini na nani???

Tatu, kuanzia press kubwa ya Dsm, uchomaji wa ofisi za Chadema Arusha, Tamko la Mwanza na Singida nyuma yake utawakuta UVCCM wakiratibu. swali ni kwa nini na kwa ufadhili na mwongozo wa nani??

Nne, leo nimepata mahali taarifa zisizo rasmi kuwa kuna fungu la Sh mil 5 na kuendelea za kuwapa viongozi wa chadema nchi nzima. Sasa sina hakika kama hawa waliotangaza uamuzi wa kujiuzulu wamefikiwa na mafungu ya ccm au ni dhamiri zao. Time will tell.

Kwa kuhitimisha, matamko haya kuandikwa na mtu moja na kusomwa na watu wengine, pengine kwa kulipwa fedha kama fununu zinavyodai, kufanana kwa hoja za wanaojiuzulu na uwepo wa uvccm nyuma ya mikakati hiyo, kunanifanya niamini kuwa huu ni mchezo wa intelijensia fulani feki ambayo kiukweli ni mchezo wa danganya toto.- hadanganyiki mtu hapa.

Akili za kuambiwa nikichanganya na zangu, napata jawabu kuwa huu ni mkakati wa ccm. Chadema tutuvuka haya majaribu ni madogo sana kwangu. Aluta continua.

Teh teh teh!
Aweda ukimkosa mchawi wa ndani utamtafuta mchawi wa nje.
Mnataka kujitutumua lakini imebuma.

Mnakimbia vivuli vyenu.
 
mkuu, tuwe wakweli mie naamini akina zzk wana makosa ila hata uongozi wetu uliobaki una makosa pia. kimsingi tuhuma hizi hazijaanza leo, zimekuwepo toka enzi za akina marehemu chacha wangwe, kafulila, Juliana shonza nk tukubali ukweli, tuhuma nyingi za msingi zimekuwa zikijirudia sasa sina hakika kama kujirudia huku ni bahati mbaya au vp!! nikuulize swali, (kuhusu ubaguzi) mh lema alilipuka hapa jf bila kupitia vikao na taratibu za ndani ya chama kama katiba yetu ya mwaka 2006 ibara ya 10 inavyoelekeza na hakufanywa chochote na uongozi - je hii ilikuwa ni kupitiwa kwa kamati kuu?! kwa kweli baadhi yetu tunapenda mabadiliko, lakini kuwe na HAKI na USAWA miongoni mwa wanachama wote.....tunataka demokrasia halisi ndani ya chama ili kujitofautisha na maccm.

Hili nalo linaukweli wake , kuna namna Lema anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu.
 
Leo walikuwa wamejipanga kuandaa maandamano pale Amazon Hotel Arusha, maandamano ya kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chadema iliyowavua Zitto Kabwe, Kitila na Mwigamba. Chakufurahisha sana ni kwamba walioandaa yale maandamano ambayo hata hivyo yalifeli ni wanachama wa CCM Mboya, Mfinananga na Rehema.

mkuu hao watu kwanini hamkuwashughulikia aseeeeeh?.Ilitakiwa muoneshe mfano mmoja ili watu wa kaliba hiyo wasijitokeze tena kuleta upuuzi wao.
 
yani wewe badala ya kujibu hoja wewe una hoji font? Let say wameandikiwa kuna tatizo gani?hivi unashangaa nini?

Twambie kama awajajiuzulu hili ueleweke.
Awajajiuzulu?

Kama hoja zao zina fanana kuna tatizo gani,je hizo hoja ni za uongo zote? Kama wote wameona hizo kuna tatizo?

Kama una ushahidi uvccm kuhusika kwenye uhalifu huo kwanini usipeleke ushahidi polisi?

Jibuni hoja acheni kutafuta mchawi subirini kesho au kesho kutwa mwingine ana mwaga mboga mbaki kusingizia ccm.

Mkuu twende taratibu usitaharuki.
Kutoka Lindi, mpaka Dsm, Singida hadi Mwanza wameandikiwa na mtu mmoja. Hoja yangu ni kwa nini. Uhalisia wa wanachosema kama ni kwel au uwongo hiyo ni jambo jingine. Jibu huyo mtu ni nani? Na kwa nn awaandikie??
 
Haya matamko anayaandika mwigulu na alikuwa anayasambaza kwa id yake ya taswira hapa jamii forum lakini hili la singida ametumia id mpya lakini rudi kwenye mabandiko yake ya nyuma aliyokuwa akijiripoti wakati akiwa marekani na moja aliyorusha akimlisha mtoto utaona aya na fonts zinafanana.

Yap, you are very right
 
Back
Top Bottom