Mambo 2 yanayotatanisha kwenye hoja za viongozi wote wa Chadema waliojiuzulu na yanayowaumbua

Mkuu Aweda kutambua hilo hata halihitaji kwenda shule!! Magamba watahangaika sana at last watashindwa tu! CHADEMA ni mpango wa Mungu so tutashinda tu
 
mkuu @mikael p. Aweda kwanza napenda kukueleza kuwa yawezekana kuwa wanatumiwa na ccm, lakini umeshawahi kukaa na kufikiri kuwa kwanini mtu kama mwenyekiti wa mkoa singida, ambaye amejitolea kwa hali na mali ili cdm isonge mbele, nyumba yake, sanduku la posta, na hata resource nyingine, leo hii awe ametumiwa na ccm? Kuna push factors gani ambazo zimepelekea hilo.
Tafakari! Chukua hatua

jibu ni rahisi sana, amehongwa fedha nyingi haramu kutoka ccm
 
Haya matamko anayaandika mwigulu na alikuwa anayasambaza kwa id yake ya taswira hapa jamii forum lakini hili la singida ametumia id mpya lakini rudi kwenye mabandiko yake ya nyuma aliyokuwa akijiripoti wakati akiwa marekani na moja aliyorusha akimlisha mtoto utaona aya na fonts zinafanana.
 
Huu ni Ujumbe wa Bob Marley kwa Watu wenye Roho mbaya kama Mbowe, NIKISIKILIZA WIMBO HUU NAONA JIBU LA KAMANDA ZITTO KWA VILAZA WANAOMUANDAMA

"Bad Card"

You a-go tired fe see me face;
Can't get me out of the race.
Oh, man, you said I'm in your place
And then you draw bad cyard -
A-make you draw bad cyard,
And then you draw bad cyard.

Propaganda spreading over my name;
Say you wanna bring another life to shame.
Oh, man, you just a-playing a game
And then you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard.

I want to disturb my neighbour,
'Cause I'm feelin' so right;
I want to turn up my disco,
Blow them to full watts tonight, eh! -
In a rub-a-dub style, in a rub-a-dub style,
In a rub-a-dub style, in a rub-a-dub style.

'Cause we guarding the palace so majestic;
Guarding the palace so realistic!

Them a-go tired to see we face (oh yeah!),
Me say them can't get we out of the race;
Oh, man, it's just a big disgrace.
The way you draw bad cyard (draw bad cyard);
The way you make wrong moves (make wrong moves);
The way you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard (draw bad cyard);
A-make you draw bad cyard -
In a rub-a-dub style, rub-a-dub style,
In a rub-a-dub style - [fadeout]
 
Mkuu Mikael P Aweda isijekuwa vijana wengi wenye njaa wanaitumia hii kama mtaji wa kupata chochote kwa kurubuniwa na CCM!! Si nasikia hampeleki chapaa kwenye ofisi za wilayani?? Njaa mkuu mbaya sana!!
 
Hivi wachagga wamefanya kitu gani hadi wanachukiwa kama wasomali hapa tanzania? Hakuna post yako ambayo umewaongelea vizuri wachagga walikufanyaje?

Poleni wachaga; pamoja na maccm kuwashambulieni lakini serikali hiyo hiyo ya ccm inaendelea kuwateua kushika nafasi nyeti za nchi hiyo, jana Rais kaenda kinyume na sera za maccm za kuchukia wachaga kwa kumteua engineer Mramba kuwa boss wa TANESCO.

watanzania tukubali tu kuwa nchi hii bila wachaga itayumba.serikali makini lazima iteue wachaga, tanzania bila wachaga itayumba. Jamaa wako juu bana tukubali ukweli. mimi si mchaga lakini nimesomea uchagani pale Moshi Technical
 
Wewe boot licker.. unatumiwa na wachagga! Wenzako wamejitambua, wamejitoa kwenye mtandao!
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!
 
Japo tumechelewa tangu tulipowagundua 2010, sasa lazima waondoke.

Siyo 2010 mkuu, mama yake mzazi alishatahadharisha kuhusu usaliti wake mapema 2008, hebu jikumbushe mkuu,

Mwanangu anatumiwa – Mama Zitto Na Mwandishi wetu - Imechapwa 18 November 2009 SHIDA Salum, mama mzazi
wa Naibu Katibu Mkuu wa
Chama cha Maendeleo na
Demokrasia (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameibuka na kusema mwanaye
anatumiwa kukivuruga chama chake. Gazeti toleo lenye makala hii Login to post comments Read more.
 
Poleni wachaga; pamoja na maccm kuwashambulieni lakini serikali hiyo hiyo ya ccm inaendelea kuwateua kushika nafasi nyeti za nchi hiyo, jana Rais kaenda kinyume na sera za maccm za kuchukia wachaga kwa kumteua engineer Mramba kuwa boss wa TANESCO.

watanzania tukubali tu kuwa nchi hii bila wachaga itayumba.serikali makini lazima iteue wachaga, tanzania bila wachaga itayumba. Jamaa wako juu bana tukubali ukweli. mimi si mchaga lakini nimesomea uchagani pale Moshi Technical
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... HAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Huu ni Ujumbe wa Bob Marley kwa Watu wenye Roho mbaya kama Mbowe, NIKISIKILIZA WIMBO HUU NAONA JIBU LA KAMANDA ZITTO KWA VILAZA WANAOMUANDAMA[fadeout]
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... HAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Unajua watu kama wewe ndo mnastahili kufungwa jiwe shingoni na kutumbukizwa katikati ya bahari. Hapa mambo ya uchaga yanatoka wapi. mimi siyo mchaga lakini kwa nini unaingiza uchaga hapa. Nina mashaka sana na weledi wako

Sawa wewe si Mchagga lkn meno yako yameoza,Mwenyekiti wa Singida alijitolea Nyumba yake kuwa ofisi tokea 1992,sasa mlioni 5 kitu gani ? huna adabu wewe, huyu sawasawa na baba yako.Mkanda mkubwa wewe!!!!!ebo!!!!!
 
Msomi gani ww, jadili hoja zilizotolewa na wahusika, na sio herufi za maandishi.. Acha Upimbi ww. Usituletee habari zako za "Movement 4 Chaggas" M4C humu. We mende!
 
Unajua watu kama wewe ndo mnastahili kufungwa jiwe shingoni na kutumbukizwa katikati ya bahari. Hapa mambo ya uchaga yanatoka wapi. mimi siyo mchaga lakini kwa nini unaingiza uchaga hapa. Nina mashaka sana na weledi wako

Mpuuzi mpuuzie mkuu, mtu yeyote anayehubiri udini, ukabila na ukanda ni zaidi ya -------- and should be wiped from the face of mother earth.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwani nilisikia pia wakati walipokaa mara ya kwanza kuna huyu jamaa aliyetumia jina la M23 ukiondoa mbili kwa ufutio, au ufanye kama hujaisoma ni kuwa alikuwa ameweka simu on ili kila kinachojadiliwa kimfikie katibu muenezi wa chama dola, na ndipo walipomgundua wakaamua kusachi PC yake wakakuta na huo waraka. umewekwa kwake. kama si hivyo jamaa naskia asingejulikana. pia siku si nyingi chuo kilitangaza kumkataa kwa kugundua amejiingiza kwenye politiks. hii ni ishara kuwa chama dola kinaweza kuhusikakwa karibu katika huu mparaganyiko uliojitokeza sidiemu.
 
Nenda ww kibaraka cha dj na padri mpenda wanawake
HOJA ZA CHUKI DHIDI YA WATU WA KASKAZINI, WACHAGA, NA SUALA LA DINI HAVITAMWACHA ZITTO WALA CCM IMARA KISIASA!... PIGENI DEBE SAANA ILI UDINI, UKANDA NA UKABILA UJENGEKE!... ZITTO aKIHAMIA CHAUMMA "UKIGOMA" NA UDINI WA CHAMA HIKI UTAONEKANA... AKIHAMIA CCM NI HIVYO HIVYO!... DHAMBI HII HAIACHI MTU!... HAUMMA BAADA YA KUANZISHWA NA ZITTO SASA AMEMUWEKA MUHA MWENZIE NA MTU WA DINI YAKE HASHIM RUNGWE KUWA MWENYEKITI...
 
Huhitaji kutumia akili sana kujua yanayoendelea nyuma yake kuna Mafisadi wa CCM hasa Mwigulu nchemba ndiyo mratibu mkuu wa hii kitu.

Hutumii akili ndo maana unashindwa kujadili ukweli wa hoja za akina zitto, unaanza kumjadili mtu binafsi. Sasa Mchemba hapa anahusika na nini?. Yaani mtu akihoji matumizi ya fedha za chama basi mhaini, msaliti na katumwa na Ccm. Duuh kweli wanachadema vilaza
 
Back
Top Bottom