neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,864
- 2,157
Mmh, kuchiti hakuwezi kuisha, labda tuanzishe kozi za 'cheating management'
Wacha we!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mmh, kuchiti hakuwezi kuisha, labda tuanzishe kozi za 'cheating management'
ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
Kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaJ, Kaunga, King'asti, cacico, Ablessed, pacha wangu Nivea..... na wengine mnaonaje hili swala?
mnataka kunifundisha kuchiti?
hivi rafiki unanitakia mema kweli kwa teja?
wengine hapa kuelewa somo huwa ni ngumu sana, tutakamatwa siku ya kwanza tu
haki ya kweli tena hapa sijakuelewa mkubwa mwenzangu, lol!Mshukuru Mungu mkubwa mwenzangu....
Wewe ndiye ulikaribia kumfanya mtu atende jinai....
Babu DC!!!
si ndo maana mi nikamshangaa?Eti tufundishwe katika umri huu??
Kwani samaki aliyekwishakauka anaweza kukunjwa kweli??
Babu DC!!
haki ya kweli tena hapa sijakuelewa mkubwa mwenzangu, lol!
si ndo maana mi nikamshangaa?
lakini nilimwelewa baadae, alisema sisi tulikuwa na kadhalika tu, target yake ilikuwa huyo mwanafunzi nambari moja, lol!
kha, babu na wewe!Kwani kati yako wewe uliyekuwa bahiri na yule aliyekuwa anatoa huduma, nani alichukua usukani kabla ya mwenzake??
Kama ni wewe basi nafuta kauli...
Babu DC!!
umeona eeeh!Kitendo cha kututaja tu, kinaonesha kuwa ana nia mbaya na sisi....
Tena ukizingatia kuwa mtu mwenyewe ni Kongosho..
Babu DC!!
ha haaaa, babu unalo hilo......Hapa sasa nashindwa jinsi ya kukusaidia....
Labda ni kuulize, kama angekuwa amewabanjua nyote wawili....nani angekuwa mwizi?
Babu DC!!
ha haaaa, babu unalo hilo......
umewahi kuwa mwalimu weye?
ndo unaweza kutana na wanafunzi vilaza kama mimi hivi.
labda sababu hakuna ambaye alikuwa na hati miliki basi wote tungekuwa wezi.....
ingawa mwenzangu aliambiwa kabisa kuwa ananiibia, sasa sijui alikuwa ananiibia nini? lol!
ha haaa, babu bana...... mi sijawahi ingia anga ya mtu, hata siku moja, lol!Basi hongera,
Mimi nilidhani wewe uliingia baadaye kwa gia kubwa kubwa na kumfanya mwenzio aambiwe kuwa nafasi yake ipo rehani...
Ila mara nyingi kinachoendelea wakati huo ni utoto tu...Ni mazoezi ya kuelekea katika utu uzima..
Babu DC!!
Kwa kweli mi nahitaji digireee ya cheating management. Manake nataka kujiunga na chama rasmi.
Habari za kupotea Babu
Nimeshakuandikisha chuoni, na ada nimelipa:bange:
Wambie wanitumie hizo pesa za ada kwa M-pesa...nina haja nazo kwanza...lol!!
Babu DC!!