Mambo 10 yanayosababisha mwanamke kusaliti

Alikuchit tena sana, ujue chiting ya utotoni inauma sana??

Hasa kama bado mko kipindi cha tamthilia, kile unampenda na papuchi si ishu.

Mie sasa kuna mmoja alinichit bila kumpa papuchi na akanimwaga vile vile lol
Ila sikulia, niliumia tu
kumbe sikumwonea, lol!
asante sana kwa kunitia moyo.....
maana kuna kipindi nilikuwa nahisi nilikuwa gaidi......
mimi nilimmwaga na kulia nililia hadi kulazwa, lol!
utoto mbaya jamani.......
bora nimekua, lol!
 
Mambo kumi?! umeishia kulalamikia kuhusu usaliti hadi mwisho!! itaendelea kesho eti?! Ooh unakua kama mnyama?! ooh unakua huna utu?!

Nadhani sio vizuri kuandika mada wakati ukiwa muathirika wa mada husika maana unanikuta umeingiza hisia na kubaribu mtiririko!
 
hukumuonea ulijionea mwenyewe! mimi kuna kijana niliachana nae mwaka jana case ipo kama yako nilimnyima papuchiri .ila issue ya kumwaga kama ugali wa juzi sio kwamba nilivomkuta akimpa dushe mtu mwingine ..yaani nilikuja kumtafakari alikuwa na roho mbaya sana.mfano my mother alikuwa mgonjwa hata siku moja hakuwai kujali hata ile anaendeleaje au vip,second alikuwa hajali hajali si ndugu zake si babake,misifa balaa..yaani tukitoka kutumia laki tano kwake si issue ,ila hana kiwanja hana hata kibanda.pia halikuwa hatulii daah yaani simu hizi yupo busy kama customer care wa tigo... ptuuuuuuuuuu ujana huu.bora nimejizeekea sasa .
ha haaa, sasa nilijionea nini rafiki?
si mimi menyewe ndo niliamua kumwaga manyanga? ingawa haikuwa rahisi ati......
wewe kweli mchaga..... mambo ya mujini mtu hataki kujenga kimasikini.... akipata vijisenti ambavyo havitoshi kuporomosha jumba la mfano kwenye mtaa ni bora atanulie mujini tu
hela za kujenga huwa zinakuja ghafla..... unashangaa mtu kanunua kiwanja leo kesho ghorofa lilishasimama.....
umeshakosa bahati hivi hivi besti
 
ulijionea cause ukimuacha mtu unaumia sana..mi naona bora kuachwa kuliko kuacha aisee..yaani unaumia ,unateseka sio jambo rahisi.kuna mtu nimemwaga mitaa ya kati huku jf namuonea huruma ila ndo hivo tena..ananichosha mwili na roho kumuonea huruma ila sirudi kwa kweli.imetoka imetoka teh

ha haaa, unaniiga mimi? mwenzio maskini jeuri, lol! kurudi tena aisee huwa haiwezekani......
nakubaliana nawe kuacha pia kunauma sana, labda kama mtu humpendi, lakini ndo kama unampenda ni kazi sana. bora akuache unajipa moyo kuwa there is nothing you can do, lakini hili umelisababisha mwenyewe!
 
kwa kuwa mleta mada ame-engender sababu za cheating, basi naomba anifafanulie utofauti wa sababu za cheating au usalili kati ya mwanamke na mwanaume. Kwa kurahisisha nimeandaa jedwali hapo chini lenye baadhi ya sababu hizo na anaweza ongeza nilizozi-miss. Asante FP kwa kuniita!

[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD] Visababishi vya usaliti/cheating
[/TD]
[TD="width: 76"] wanaume
[/TD]
[TD="width: 80"] wanawake
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 1.Kisasi baada ya kusalitiwa
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 2.Fedha
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 3.Old love
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 4.Muonekano mzuri kuliko …….
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 5.Ucharming wake
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 6.safari za kikazi
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 7.anajali kuliko wangu
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 8.kero za nyumbani
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 9.wa nyumbani hanithamini
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 10.hitaji lakuonja kwingine
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 11.Hajui mapenzi, hanifikishi kileleni
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 12.Boss wanu anataka
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 13.
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 14.
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 213"] 15.
[/TD]
[TD="width: 76"][/TD]
[TD="width: 80"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Naongeza no 11&12
 
Ha ha ha ha, wee kiboko

Hadi kulazwa? atakuwa alikuwa handsome sana

kumbe sikumwonea, lol!
asante sana kwa kunitia moyo.....
maana kuna kipindi nilikuwa nahisi nilikuwa gaidi......
mimi nilimmwaga na kulia nililia hadi kulazwa, lol!
utoto mbaya jamani.......
bora nimekua, lol!
 
ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
Kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaJ, Kaunga, King'asti, cacico, Ablessed, pacha wangu Nivea..... na wengine mnaonaje hili swala?
Hapana hukumuonea tena ulifanya jambo jema kujitunza loh . Huyo mkaka hata angekuoa angekusumbua sana manake wameanzisha kamsemo nakaona humu mmu eti mtu anakupenda hata kama anacheat. Sasa what is the meaning of love jamani si pamoja na uaminifu. Pia ulibarikiwa kuijua thamani yako mpendwa na wengi wangefanya hivyo ingekua poa sana. Kuna thamani kubwa mno ktk kusubiri na kua na uhusiano wa karibu pasipo kuanguka dhambini. Unajua kuna watu wana tabia ngumu zisizovumilika aisee so kwa kua pamoja kunakusaidia kumjua mtu na kufanya maamuzi bila mawaa. Hebu ona mtu eti wamekutana the same day na anaachia kila kitu sasa baadae anapokuja kujua kua yule mtu hafai inabakia kusema ninge.......ninge which is too late.
 
Naongeza no 11&12
wanawake wengi fedha zinawaponza,na hiki kizazi cha sasa kinavopenda mashindano ... simu hizi haki ya mungu ofsini kwetu kila mtu ana ipad . magalaxy sasa ambae hana likitokea lipedeshee anawaza mara mbili hata? wake za watu ndo usiseme ... anatoka na boss ili apata kivitz kama mama nanihii mume anaambiwa ni mkopo wanawake tuna tamaa sana jamani. namshukuru mungu kanipa moyo wa kuridhika!
 
Ha ha ha ha, wee kiboko

Hadi kulazwa? atakuwa alikuwa handsome sana
ha haaa, lol!
mapenzi rafiki, mapenzi......
wewe kwani zombie saa hizi ikitokea mambo fulani hutalazwa? au ndo utajirestisha in pisi kabisa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana hukumuonea tena ulifanya jambo jema kujitunza loh . Huyo mkaka hata angekuoa angekusumbua sana manake wameanzisha kamsemo nakaona humu mmu eti mtu anakupenda hata kama anacheat. Sasa what is the meaning of love jamani si pamoja na uaminifu. Pia ulibarikiwa kuijua thamani yako mpendwa na wengi wangefanya hivyo ingekua poa sana. Kuna thamani kubwa mno ktk kusubiri na kua na uhusiano wa karibu pasipo kuanguka dhambini. Unajua kuna watu wana tabia ngumu zisizovumilika aisee so kwa kua pamoja kunakusaidia kumjua mtu na kufanya maamuzi bila mawaa. Hebu ona mtu eti wamekutana the same day na anaachia kila kitu sasa baadae anapokuja kujua kua yule mtu hafai inabakia kusema ninge.......ninge which is too late.
umeona eeeh!
asavali nilikuwa najitambua toka utotoni, lol!
ila kiukweli namwoneaga huruma sana ambavyo mpaka sasa hajasettle, sijui nilisikitika sana!!!!!! lakini mbona nilimsamehe na moyo wangu u mweupe kabisa! sijui tatizo ni nini
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kumbe sikumwonea, lol!
asante sana kwa kunitia moyo.....
maana kuna kipindi nilikuwa nahisi nilikuwa gaidi......
mimi nilimmwaga na kulia nililia hadi kulazwa, lol!
utoto mbaya jamani.......
bora nimekua, lol!
Kuachwa au kumuacha unaempenda kunauma sana usiombe. Nakumbuka niliachwa bwana nliliaje, utoto bwana niliapa kua sitaki tena mahusiano. Kumbe Mungu aliniepusha na mengi , huwa najiuliza hivi nisingeachwa leo hii ingukuaje kuishi na mtu huyo asiyemwaminifu, tulipokua wote sikugundua kua ana mahusiano na mtu mwingine loh, huwa namshukuru sana Mungu . Nimejifunza kuwa kila kitu kinachotokea maishani mwetu hata kama ni kichungu kina sababu hakuna kitu kinachotokea bure. Kumbe hata kwenye jambo linaloumiza unaweza kujifunza kitu.
 
ha haaa, mara nyingi unapokuwa kwenye hiyo situation unaona kama umeonewa, ukija kupona sasa ndo utaona kuwa afadhali ulitoka....
ni kazi ngumu kwa kweli ila ndo maisha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
umeona eeeh!
asavali nilikuwa najitambua toka utotoni, lol!
ila kiukweli namwoneaga huruma sana ambavyo mpaka sasa hajasettle, sijui nilisikitika sana!!!!!! lakini mbona nilimsamehe na moyo wangu u mweupe kabisa! sijui tatizo ni nini
Unajua most of the time we don't value until it is gone. Sijui kwa nini bwana wengi yamewakuta hayo yaani wanapocheza na mahusiano mema huwa wanapata tabu kumpata mtu sahihi, huwa hawasettle sijui kwa nini tu. Na mara nyingi huishia kua frustrated na kuishi maisha ya ulevi na wanawake wengi hadi huruma.Yaani huwa hawana home hata kama wana nyumba nzuri vipi, sijui ndio laana ya machozi walioyasababisha kwa wenzao.
 
Ni kweli kabisa rafiki.....
huyu mtu alikuwa bright sana wakati tunasoma, na kwa kiwango kikubwa sana alinisaidia masomo yangu ya sekondari, ingawa hatukuwa tunasoma shule moja.
Alifaulu vizuri sana f6 na hapo ndo tulimwagana na alipoenda chuo alistruggle sana kugraduate, mpaka nilishangaa. lakini aligraduate na anafanya kazi nzuri tu. Ila sasa ameshindwa kabisa kujitengenezea familia, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha haaa, mara nyingi unapokuwa kwenye hiyo situation unaona kama umeonewa, ukija kupona sasa ndo utaona kuwa afadhali ulitoka....
ni kazi ngumu kwa kweli ila ndo maisha
Na mara nyingi unapokutana na mtu decent anaekupenda kwa dhati yaani unaona alllaaaa kumbe Mungu alikua na sababu bwana. Na hauwezi kuona mpaka uwe umepona na kukubali matokeo. Hata hivyo Mungu ni mwema sana haachi kutufuatilia hata kama sisi tunakua hatujui uwepo wake. Huwa haachi kutuwazia mema na kutupa kilicho chema . Ni kama mzazi anapokulazimisha usome usiende kucheza rede, kipindi hicho unapokatazwa na kusimamiwa usome basi moyoni unampa mzazi kila jina mara mnoko au hanipendi. lkn bwana ukija kukua na kukumbuka wale watoto waliokua na uhuru wa kucheza popote jinsi mlivyotofautiana kimaisha hapo ndipo unapoanza kumshukuru mzazi loh kumbe alikua anakuwazia mema.
 
sina la kuongeza, Amen!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli kabisa rafiki.....
huyu mtu alikuwa bright sana wakati tunasoma, na kwa kiwango kikubwa sana alinisaidia masomo yangu ya sekondari, ingawa hatukuwa tunasoma shule moja.
Alifaulu vizuri sana f6 na hapo ndo tulimwagana na alipoenda chuo alistruggle sana kugraduate, mpaka nilishangaa. lakini aligraduate na anafanya kazi nzuri tu. Ila sasa ameshindwa kabisa kujitengenezea familia, lol!
kwani unafikiri kazi nzuri na mshahara mzuri vina maana kama huna mahusiano mazuri na mwenzi wako . Kwa bahati mbaya hawa wenzetu hawapendi kumjaribu Mungu huwa hawajui kua yeye ni mwingi wa rehema na anaweza kukuumbia maisha upya . Manake yeye ni baba mwenye upendo mwingi mno na anapenda tuwe na furaha
 
ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
Kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaJ, Kaunga, King'asti, cacico, Ablessed, pacha wangu Nivea..... na wengine mnaonaje hili swala?

Shosti FP mkishaanza mijadala ya mapenzi mie naomba nisiwe msemaji maana naweza kuvuruga vichwa vya watu bureee! Kazi yangu ni kusoma na kupiga kimya labda kama ni lazima sana niseme neno.
 
Last edited by a moderator:
mie nawalaumu wanawake aisee,sisi kwa sisi hatupendani ,unajua mtu ana familia yake na nyie mnajiweka hapo,wengine msivyo na haya hadi nyumba mnajengewa kudidimiza familia kabisa........na nyie wababa mnakua wajinga nyumba/mkeo wa miaka kadhaa uko tayari kumtelekeza yeye na wanae kisa nyumba ndogo mpya ule msemo wa mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake mwenyewe unatakiwa kuwa mwanaume mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe.................................................i
 
Back
Top Bottom