kwani tumefanya nini mdogo wangu?dada mkubwa na Kongosho kuna siku nitawawekea msuto kigego nyie subirini!
kwani tumefanya nini mdogo wangu?
mimi! wapi? saa ngapi? lazima umeniconfyuzi na ntu mwingine, lol!si mmenisema !!!!
Acha utukutu, ujue utakuwa mwanafunzi soon?
Adhabu zipo ujue?!
mnataka kunifundisha kuchiti?
hivi rafiki unanitakia mema kweli kwa teja?
wengine hapa kuelewa somo huwa ni ngumu sana, tutakamatwa siku ya kwanza tu