Mambo 10 yanayosababisha mwanamke kusaliti

marhaba my dear!!! Upo mmwanangu??

Nipo Anti, nmekumiss kweli esp. kasauti kako ka kumtoa nyoka pangoni...i was so disapointed uliponiita juzi..nlidhani ni some young beautiful girl bana bt anyway nlifurahi pia kukuona after long!
 
Last edited by a moderator:
Nimemlenga huyo nliyemtaja kwa kwanza kabisa

Wengine hata mkifeli mtihani sitajali sana

mnataka kunifundisha kuchiti?
hivi rafiki unanitakia mema kweli kwa teja?
wengine hapa kuelewa somo huwa ni ngumu sana, tutakamatwa siku ya kwanza tu
 
Mmh, kuchiti hakuwezi kuisha, labda tuanzishe kozi za 'cheating management'
hivi kucheat kunaanza lini.mfano mmimi nikiwa na wachumba wawili au watatu ninacheat? kucheat ninadhani kunaanzia kwenye ndoa au unasemaje?
 
Kuchit kunaanzia kwenye ky.upi
Ndoa ni cheo tu, hujui waweza jichit mwenyewe?

ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
Kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaJ, Kaunga, King'asti, cacico, Ablessed, pacha wangu Nivea..... na wengine mnaonaje hili swala?
 
Last edited by a moderator:
ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
Yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
Sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
Eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaj, kaunga, king'asti, cacico, ablessed, pacha wangu nivea..... Na wengine mnaonaje hili swala?
hukumuonea ulitambua thamani yako
 
Ha ha ha, baunsa wako amekonda???

Usijali, nayemchokoza anahitaji maneno tu, si nguvu

huko nilishajitoa mwenzio....
toka mdogo wangu snowhite aache kubeba mawe sijiingizi kwenye maugomvi...... baunsa wa kunitetea amestaafu
 
Alikuchit tena sana, ujue chiting ya utotoni inauma sana??

Hasa kama bado mko kipindi cha tamthilia, kile unampenda na papuchi si ishu.

Mie sasa kuna mmoja alinichit bila kumpa papuchi na akanimwaga vile vile lol
Ila sikulia, niliumia tu

ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
Kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaJ, Kaunga, King'asti, cacico, Ablessed, pacha wangu Nivea..... na wengine mnaonaje hili swala?
 
Kuchit kunaanzia kwenye ky.upi
Ndoa ni cheo tu, hujui waweza jichit mwenyewe?
mi sielewagi bwana ,hata nikimkuta mpenzi wangu na mtu mwingine siwezi kusema eti kanicheat/ kanicheat kwa lipi wakati mimi nipo mzima na mwili wangu.huwa sielewi
 
ha haaaa, mimi bf wangu wa kwanza nilimmwaga sababu "alinichiti"
kiukweli kabisa siku hizi huwa najiuliza kama yule kaka nilimwonea au la, sababu alinichiti ilhali sikuwahi kumpa papuchi....
yaani mapenzi ndo yamekoleeea mi nakazana kumwambia tusubiri kwanza tumalize shule mbona tunapendana sana na hiyo kitu siyo muhimu, yeye anakubali kuwa sawa tuvumilie na kunionyesha mapenzi moto moto kumbe ana sehemu anapooza moto, na alishamwambia huyo mdada kuwa ana mtu wake ambaye ni mimi.
sasa eti mnisaidie, huyu mtu alinichiti au nilimwonea?
eti mdogo wangu snowhite, saidia hapa kidogo....
Kongosho pia unakaribishwa kutoa maoni ....
mwaJ, Kaunga, King'asti, cacico, Ablessed, pacha wangu Nivea..... na wengine mnaonaje hili swala?
hukumuonea ulijionea mwenyewe! mimi kuna kijana niliachana nae mwaka jana case ipo kama yako nilimnyima papuchiri .ila issue ya kumwaga kama ugali wa juzi sio kwamba nilivomkuta akimpa dushe mtu mwingine ..yaani nilikuja kumtafakari alikuwa na roho mbaya sana.mfano my mother alikuwa mgonjwa hata siku moja hakuwai kujali hata ile anaendeleaje au vip,second alikuwa hajali hajali si ndugu zake si babake,misifa balaa..yaani tukitoka kutumia laki tano kwake si issue ,ila hana kiwanja hana hata kibanda.pia halikuwa hatulii daah yaani simu hizi yupo busy kama customer care wa tigo... ptuuuuuuuuuu ujana huu.bora nimejizeekea sasa .
 
Back
Top Bottom