Nchi pekee watu milioni 50 wanamuogopa mtu mmoja
Hapo umenitoa mimi na Tundu?
Unashangaa ?? Kuna Mbu kambeba TemboTwiga anapanda pipa
Mbaya gani kama alikuja cheza ligi kuu na akacheza vizuri? Sioni dhambi kuendesha bodaboda huko alikotoka inaonyesha alikuwa jasiri kiasi gani hadi kujikwamua. Woga wako ndio umasikini wako. ..kazi ni kazi tuNi nchi pekee Jaja ( Kijana mwendesha bodaboda huko Brazil ) aliletwa hapa Nchini na kucheza ligi kuu.
UmeongeaNdo nch pekee ambayo msanii anayebana sauti na kuimba nyimbo za mapenz ndo anaonekana kuwa bora kulikon anayeelimisha jamii na maadili
HeheNdio nchi pekee ambayo wapumbavu wameandaa UKUTA ambapo siku yenyewe viongoz wao watakuwa Dubai Na familia zao
HeheNi nchi pekee ambapo wapinzani ndo wanapigania sheria zifatwe kuliko watawala
Ndio nchi pekee ambayo African language(Kiswahili) hutumika kufundishia elimu ya msingi halafu ghafla hutumia kiingereza kufundishia elimu ya sekondari na vyuo. Ndo maana tunakuwa na PhD holder hawezi kuongea Kiingereza, na je hakukariri aliwezaje kujifunza kwa lugha asiyoielewa!
Huwa linanikosesha usingizi hili suala. Hapana ubaya kama tutatumia Kiingereza tangu msingi hadi sekondari na elimu ya juu. Nchi zingine zote ambazo zinatumia Kiingereza kufundishia, hufanya hivyo tangu chekechea. Nionavyo mimi wakati muafaka hasa wa kujifunza lugha ni utotoni na siyo ukubwani. SA, Zimbabwe, Uganda naamini hata Kenya, Zambia, Malawi n.k wanatumia Kiingereza tangu chekechea. Mfumo huo hautakiua Kiswahili mfano ukiwa Kampala mjini Kiganda kinaendelea kama kazi hakijafa, Wazimbabwe wanaongea Kishona na Kiingereza pretty much equally. Hali kadhalika Afrika Kusini Kixhosa, Kizulu, Kisuthu, Kitswana, Kivenda, Kiswati vinatumika kwenye daily conversations na Kiingereza chao ni kile cha mzungu hasa. Hii solution ya mwendokasi ya kutumia wakalimani, itakuwa aibu kama naye mkalimani ni bogus. Besides, such a solution should be an interim measureYaani wewe ndo umechangia kitu kikubwa sana! Ahsante sana, kila siku nautazama mfumo wa elimu usioeleweka hadi nashindwa kuwaelewa wahusika wanawaza nini?
KweliNdio nchi pekee ambayo African language(Kiswahili) hutumika kufundishia elimu ya msingi halafu ghafla hutumia kiingereza kufundishia elimu ya sekondari na vyuo. Ndo maana tunakuwa na PhD holder hawezi kuongea Kiingereza, na je hakukariri aliwezaje kujifunza kwa lugha asiyoielewa!
Ndio nchi pekee ambayo African language(Kiswahili) hutumika kufundishia elimu ya msingi halafu ghafla hutumia kiingereza kufundishia elimu ya sekondari na vyuo. Ndo maana tunakuwa na PhD holder hawezi kuongea Kiingereza, na je hakukariri aliwezaje kujifunza kwa lugha asiyoielewa!