Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

"Nchi pekee ambayo MTU ambaye hakumaliza shule(sugu) ana question elimu ya MTU MWENYE shahada ya uzamivu " by mwakyembe
 
How to Hide my ip address free online?


Hii thread ukichangia kiboya sijui
 
Mwacheni rais wetu afanye Nazi yake asafishe nchi inanuka hata Mwalimu Nyerere alisema INA haja ya kusafishwa hasa rushwa na ufisadi bado Rais wetu anapanga safu zake najuwa mtaona matokea baadae ,Mimi namfagilia sana Raised kwa kujitolea mhanga kuiweka nchi yetu vizuri na maendelea mnaona ila kumbukeni ROME haikujengwa kwa Sikh moja naamini baadae miaka mitatu mtaona matunda yake Rais wetu anaweka discipline katika nchi na ni hali yake uPinzani ni taasisi isiyo na muoelekeo kazi yao kutaka kutibua Yale ambayo Rais anayatekeleza kwa Ahadi sio maneno ila watanzania wengi walizoe kudekezwa wakajisahau sio pia wachapa kazi ni wavivu hivyo abahitajika RAIS KAMA HUYU nampongeza sana Mungu ampe Afya na Uzima afanye kazi yake wataoona hafai hao ni wagonjwa wa AKILI
 
Ni nchi pekee ambayo wabunge wa upinzani huziba midomo kwa plasta,wakati wa mijadara bungeni,na baada ya muda huwachochea wananchi kuasi dhidi ya amri harali za utawala.
 
Back
Top Bottom