Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

Hii nchi no problem,shida ni watu na viongozi wao!
 
Kuna watu wanaweza kuwa wanaish Tanzania lakin kuna mambo yanayofanyika yanashangaza wengi wanaochungulia.

1. Ndo nchi pekee ambayo mwanachama wa upinzani anashangilia serikali kukwama na mapato kushuka hajui akiwa kwenye matatizo ya kutaka huduma atakwama hata yeye pia,

2. Nchi pekee dunian ambayo mpinzani akibambikiziwa kesi mwananchi wa chama tawala anashangilia , hajui IPO siku naye anaweza kuwa mpinzani , mfano lowassa alitoka Ccm akaenda upinzani

3. Ndo nchi pekee ambayo wanasiasa ni waongo na wasahaulifu kupita kiasi , na wanabadilisha maneno kila kukicha,

4.Ndo nchi pekee ambayo MTU anaweza kuchagufuliwa kwa miaka zaidi ya nane kuwa fisadi lakin pesa zikamfanya malaika ndani ya Siku moja,

5. Ndo nchi pekee mwanafunzi wa form four aliyepata division four na zero anaenda chuo kukuu kisa ni mtoto wa mkubwa , na wenye sifa wakiomba haki yao wanapigwa mabomu,

6. Ndo nchi pekee ambaye askari wake analalamika akiwa nyumbani kwake kuhusu mwanaye MKOPO wa chuo kuchelewa na kumwambia akadai haki yake lakin anawaza jinsi ya kutekeleza agizo LA kupiga mabomu watoto wa wengine wanaoandamana kudai haki kama mwanae

7. Ndo nchi pekee ambayo inaongozwa na misingi ya MTU ambaye ashatangulia mbele ya haki,

8. Ndo nchi pekee ambaye inamiliki maliasili physically, lakin economically wananufaika wengine, kama mlima Kilimanjaro kutumiwa na Kenya

9. Ndo nchi pekee ambayo vijana wanaojiita wapinzani hulalamika nitandaoni badala ya kuchukua hatua, wanaonekana kuwa na hoja nzuri na kusema tarehe moja kitanuka wakati hata majina wanayotumia ni fake na hawajuani

10. Tanzania ni nchi pekee ambayo MTU anatetewa sana na kuonekana hana kosa hata kama kabaka au kahujumu uchumi, kisa anatokea kanda fulan

NOTE THAT Ndo nchi pekee ambaye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa sehem yake (zenji) analindwa kuliko rais wa marekani

Mwaweza ongezea mengine

umewai ishi nje ya tanzania?
 
Tanzania ni nchi pekee ambapo Mkuu wa Mkoa ana matamko mengi na anajiona baada ya Rais kiitifaki anafata yeye kwenye Nchi.

Tanzania ndio nchi pekee Klabu ya mpira wa miguu inakodishwa kwa mtu mmoja miaka 10.

Ni nchi pekee Jaja ( Kijana mwendesha bodaboda huko Brazil ) aliletwa hapa Nchini na kucheza ligi kuu.
 
Ndio nchi pekee ambayo African language(Kiswahili) hutumika kufundishia elimu ya msingi halafu ghafla hutumia kiingereza kufundishia elimu ya sekondari na vyuo. Ndo maana tunakuwa na PhD holder hawezi kuongea Kiingereza, na je hakukariri aliwezaje kujifunza kwa lugha asiyoielewa!

Na 61% ya wahitimu wa elimu ya juu Ni vilaza,
 
Ndo nchi pekee ambayo shule baadhi headmaster ndo mwalimu , ndo MUHASIBU ndo mlinzi ndo secretary
 
Tanzania ni nchi pekee ambapo Mkuu wa Mkoa ana matamko mengi na anajiona baada ya Rais kiitifaki anafata yeye kwenye Nchi.

Tanzania ndio nchi pekee Klabu ya mpira wa miguu inakodishwa kwa mtu mmoja miaka 10.

Ni nchi pekee Jaja ( Kijana mwendesha bodaboda huko Brazil ) aliletwa hapa Nchini na kucheza ligi kuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio nchi pekee ambayo wapumbavu wameandaa UKUTA ambapo siku yenyewe viongoz wao watakuwa Dubai Na familia zao
 
11. Ndio Nchi pekee ambayo mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya yamewezwa kutupiliwa mbali na kuchukuliwa mawazo ya Andrea chenji.
12) Ndio Nchi pekee wezi huitwa wajanja.
13. Ndio Nchi pekee wabunge wa chama tawala hawawezi kufichua ufisadi, hawawezi kutoa mawazo hasi dhidi ya Serikali, hawawezi kukubaliana na hoja ya upinzani hata kama inamaslahi mapana kwa Taifa, Nchi inayoongozwa kwa matamko kuliko vitendo.
 
Nchi pekee mtoto anafaulu la saba bila kujua kusoma na kuandika


Nchi pekee Twiga anapanda pipa first class ila waliolipia nauli ya twiga hawajulikani


Nchi pekee Cong Cong Wang raia wa Kichina kuongoza mtihani wa Kiswahili ,wakati Mwajuma ndala ndefu wa Msoga kaishia kuandika vepeee ,ama neeene ,
 
Back
Top Bottom