Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu Tanzania

Ndo nchi tajiri africa ila raia wake hawana furaha huku wengine wanajua mwalimu bado rais
 
Ndoo nchi pekee ambayo imepata bahati ya mtende ya kuongozwa ma Rais mkweli, mchapakazi na nwadilifu naye no JPM
 
Ni nchi pekee ambapo printed documents ni kizungu lakini unajaza sehemu zilizoachwa wazi Kiswahili
 
HII KAULI AMEITOA LEO MH.POMBE AKIWA VIWANJA VYA FURAHISHA JIJINI MWANZA MAGUFUFI AMESEMA BADO ANAENDELEA NA ZOEZI LA WATUMISHI HEWA IKUMBUKWE MWEZI WA SITA ALITOA KAULI YA KWAMBA AMESIMAMISHA AJIRA KWA MDA USIOZIDI MIEZI MIWILI MPAKA SASA IMEPITA NA ANAENDELEA KUDHARAU WAPIGA KURA WAKE NIWAOMBE WALIMU NA IDARA YA AFYA AMBAO MNASUBIRI AJIRA AJIRA HAZIPO NA SERIKALI HAINA PESA TAFUTENI NJIA MBADALA YA KUYAMUDU MAISHA YENU KAMA SERIKALI AMEKOSWA HATA PESA ZA KUWALIPA WANACHUO WANAOENDA FIELD VYUO VIKUU JIONGEZENI HII NCHI SIYO SALAMA KWA UPANDE WA KIFEDHA NA WALE MLIOSIMAMISHWA KAZI MFANO KADA YA MAHAKAMA ,HARMASHAURI ,AFYA ILI KUPISHA ZOEZI LA UHAKIKI HASA MLIOAJIRIWA JUNE NDOO MMEFUKUZWA JUMLA KWA TAARIFA AMBAZO ZIPO POLENI NAJUA MTAUMIA ILA NDOO SERIKALI YENYEWE HII

Kuwa makin
Umeyachoka maisha ya mtaani????
 
Nchi pekee mtoto anafaulu la saba bila kujua kusoma na kuandika

Nchi pekee Twiga anapanda pipa first class ila waliolipia nauli ya twiga hawajulikani

Nchi pekee Cong Cong Wang raia wa Kichina kuongoza mtihani wa Kiswahili ,wakati Mwajuma ndala ndefu wa Msoga kaishia kuandika vepeee ,ama neeene ,
Twiga anapanda pipa
 
Kuna watu wanaweza kuwa wanaish Tanzania lakin kuna mambo yanayofanyika yanashangaza wengi wanaochungulia.

1. Ndo nchi pekee ambayo mwanachama wa upinzani anashangilia serikali kukwama na mapato kushuka hajui akiwa kwenye matatizo ya kutaka huduma atakwama hata yeye pia,

2. Nchi pekee dunian ambayo mpinzani akibambikiziwa kesi mwananchi wa chama tawala anashangilia , hajui IPO siku naye anaweza kuwa mpinzani , mfano lowassa alitoka Ccm akaenda upinzani

3. Ndo nchi pekee ambayo wanasiasa ni waongo na wasahaulifu kupita kiasi , na wanabadilisha maneno kila kukicha,

4.Ndo nchi pekee ambayo MTU anaweza kuchagufuliwa kwa miaka zaidi ya nane kuwa fisadi lakin pesa zikamfanya malaika ndani ya Siku moja,

5. Ndo nchi pekee mwanafunzi wa form four aliyepata division four na zero anaenda chuo kukuu kisa ni mtoto wa mkubwa , na wenye sifa wakiomba haki yao wanapigwa mabomu,

6. Ndo nchi pekee ambaye askari wake analalamika akiwa nyumbani kwake kuhusu mwanaye MKOPO wa chuo kuchelewa na kumwambia akadai haki yake lakin anawaza jinsi ya kutekeleza agizo LA kupiga mabomu watoto wa wengine wanaoandamana kudai haki kama mwanae

7. Ndo nchi pekee ambayo inaongozwa na misingi ya MTU ambaye ashatangulia mbele ya haki,

8. Ndo nchi pekee ambaye inamiliki maliasili physically, lakin economically wananufaika wengine, kama mlima Kilimanjaro kutumiwa na Kenya

9. Ndo nchi pekee ambayo vijana wanaojiita wapinzani hulalamika nitandaoni badala ya kuchukua hatua, wanaonekana kuwa na hoja nzuri na kusema tarehe moja kitanuka wakati hata majina wanayotumia ni fake na hawajuani

10. Tanzania ni nchi pekee ambayo MTU anatetewa sana na kuonekana hana kosa hata kama kabaka au kahujumu uchumi, kisa anatokea kanda fulan

NOTE THAT Ndo nchi pekee ambaye mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wa sehem yake (zenji) analindwa kuliko rais wa marekani

Mwaweza ongezea mengine
Psychosis.Umepigwa na maisha nini.the blame game.
 
Nikajua Ni issue za maana
 
Ndio nchi pekee ambayo African language(Kiswahili) hutumika kufundishia elimu ya msingi halafu ghafla hutumia kiingereza kufundishia elimu ya sekondari na vyuo. Ndo maana tunakuwa na PhD holder hawezi kuongea Kiingereza, na je hakukariri aliwezaje kujifunza kwa lugha asiyoielewa!
Yaani wewe ndo umechangia kitu kikubwa sana! Ahsante sana, kila siku nautazama mfumo wa elimu usioeleweka hadi nashindwa kuwaelewa wahusika wanawaza nini?
 
Back
Top Bottom