Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
# 3 na # 9......
?????????14.Wanawake wanajua kuwaliza wanaume kitandani
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda
Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa
Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara
Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha
Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na
Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala
Biashara Yoyote(Akili Kumkichwa).
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu
Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka
Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa
Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye
Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani
Nimeisahau....!

Hayo mambo10 yanamhusu hata huyu?

Hahaha,katika zote umeona hzo 2 tu?hapa naunga mkono:

2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi

Wa Watoto Wao.

3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda

Hupenda Kweli.

Hayo mambo10 yanamhusu hata huyu?

Hayo mambo10 yanamhusu hata huyu?

Mmmh...! huyu!?? sidhani.
Wabahili na watumiaji pale wakipenda ie Anaeza kukwambia sina hata 100 lakini anaeza kukupa hata Laki 5 kwa akiba zake
Ndio yana muhusu.... au?
Wabahili na watumiaji pale wakipenda ie Anaeza kukwambia sina hata 100 lakini anaeza kukupa hata Laki 5 kwa akiba zake
Afu wana roho ngumu kisenzi !
Sometimes kama mwanaume umekwama kuacha "kodi/posho ya meza" wako radhi mmbonji nayo ilhali wamesunda hata laki!
Ina mana sisi hatusikii njaa?