mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

Wanakawia kufika kileleni ambapo wanaume wana uwezo wa kufika mara wanapotaka, iwe mapema au wakawie, wanaamua wenyewe. Kwa mwanamke hafiki haraka hata kama anataka afike haraka. Na ukifika wakati huo, hana uwezo wa ku hold, inabidi kitu kitoke tu wakati huo.

nisaidie scientfic proof on dis

Wana hisia za haraka kuliko wanaume. Kama ni kitu cha huzuni machozi yanawatoka haraka sana, kama ni cha kufurahisha watacheka kwanza.

dah,unaeza toka nae mnaenda msiban mnapga story kawaida,bt mkifika 2,kilio

Hapo inategemeana na jinsi mnavyoishi. Kama unachezea pesa ovyo na malaya, unanirudia sb unasema huna pesa, unategemea nini?

Unajua kwa nini inakuwa hivyo kaka? Wakati mko njiani kuna maongezi na mambo mengine yanapita anajisahau kidogo. Sasa akifika kwenye tukio lenyewe, akiona umati wa watu ndio kama katoneshwa kidonda vile, lazima aangue kilio cgha nguvu. Hiyo ni asili tu. Wachache sana wenye moyo mgumu wa kijasiri kama wanaume. hao wanaweza kwenda msibani, wana majonzi kabisa, lakini mchozi ng'o! Ni maumbile ya mtu tu. Ila majority hsia ni kali sana.

1. Wana Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda
Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa
Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara
Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha
Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na
Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala
Biashara Yoyote(Akili Kumkichwa).
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu
Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka
Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa
Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye
Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani
Nimeisahau....!
Ukitaka kumuelewa mwanamke kila kitu, unaweza ukawa chizi au ukanza upya kumpenda.

na ndmana kushawishika ni raisi

By babumapunda

hahahaha,lol

umenchekesha sana.

Ina mana sisi hatusikii njaa?

Inashajiishwa hivyo, kwamba nenge lenu hua la asteaste, coz hiyo mifuta yenu husussan pande zenu zile ambazo always zina vibrate, huwasaidia calories flaniflani.

Back
Top Bottom