Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 583
Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Na wewe unatamani kufanya uzinzi kabla ya kuoa? Inawezekana amekuona wewe ni mzinzi uliyepitiliza ameamua kutafuta mganga fake akunusuru na kifo cha uzinziWakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Tuelezee zaidi uliyoyafanya..Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Wewe usifanye mapenzi ...acha mapenzi yakufanye wewe sawaaa....Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Heshimusanaa makubaliano yakoWakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Nilikua na mademu wengiTuelezee zaidi uliyoyafanya..
Hapa demu wangu anataka kuja geto saizi sijui nimjibujeWewe usifanye mapenzi ...acha mapenzi yakufanye wewe sawaaa....
Bila ya kufanya siwez asieHeshimusanaa makubaliano yako