Kwani Lwakatare yupo nje kwa dhamana??
Hao ni vibaka wa kawaida tu. Haina uhusiano na kazi za kamanda zitto.
Hapa kuna movie kali sana inataka kufanyika hivi karibuni viongozi wa Chadema na wengine kwa ujumla inabidi kuwa makini, so tusubirie na kuona what next,maana naona kama kuna something behind hii issue na tusubirie tu coming days...watu wanatafuta kila namna kuweza kuiuwa chadema...maana nimeshtuka hapo amesema anamtambua mmoja kada wa Chadema why and how??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mwizi jambazi anaweza kuwa ni CUF, CCM, NCCR, CDM, muislamu, Mkristu, askari polisi, magereza, Jwtz. mama yake Zito amevamiwa na majambazi.
Najua kwasasa kuna hali tete sana. Kuna maAgent wa CCM ndani ya CDM ambao wao wanakazi moja tu ya kukichafua chama. Mara sumu, mara, masalia, mara, Msaki, mara, Zoka, mara, Ludovick, mara Mwigulu, mara nape Mara Kibaka ni kada wa cdm ?
Haya yote ni mapitio. Tutafika tu na uchafu wenu wote huu. Hakuna mnayemsaliti zaidi ya kusaliti dhamiri zenu na watanzania wote.
Hatuiungi mkono CDM kwa bahati mbaya. Lazima CCM watoke madarakani hata wakituita majina gani. Magazeti yale yale habari zile zile za watu wale wale.
Hii habari inasikitisha kwasababu mama wa kamanda wetu amevamiwa, ila inakera ilivyoripotiwa. Sijawahi kusikia kibaka alikuwa mkristu au muislamu siku zote mwizi ni mwizi. Awe na chama au la. Kwa kutaja chama cha siasa unaingiza siasa kwenye matukio yasiohusika.
.ama kweli ukipenda, chongo husema husema kengeza,hata kama mmoja wao waliokuja kutaka kumfanyia ubaya anamjua asiseme!!!? Eti kwa vile yupo chadema?!!kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni....Hizi ni siasa chafu tu, kutaja chama cha siasa kwenye kila tukio la kihalifu ni siasa chafu sana...!
Movie ingine imeanza na mpaka kufika 2015 tutaona makubwa.Kazi kweli kweliMama mzazi wa Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa. Waliomvamia wamemtishia kumuua huku wakimtaka awape laptop,simu na mawasiliano yake mengine...
Habari zaidi magazeti ya leo.
View attachment 91230View attachment 91229
Nahisi hivyo piaHapa kuna movie kali sana inataka kufanyika hivi karibuni viongozi wa Chadema na wengine kwa ujumla inabidi kuwa makini, so tusubirie na kuona what next,maana naona kama kuna something behind hii issue na tusubirie tu coming days...watu wanatafuta kila namna kuweza kuiuwa chadema...maana nimeshtuka hapo amesema anamtambua mmoja kada wa Chadema why and how??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
huu uzi najua member wanaolipwa na lumumba kama bungen na wengne wataonekana apa cz lazma waihusishe na siasa zao za majtaka
basi kutakua na information za muhimu sana alizonazo zito ,ambazo ni hatari kwa hao wanaomtafuta.GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
badala saa hizi aokoke na kumrudia mungu kwani umri wake umeshafika hatua za dakika za majeruhi ,yeye ndo anakazana kuwafinyia watu mambo ya ajabu sana,huyu akikosa urais mwaka 2015,ataleta machafuko.Hivi wewe Slaa mbona unaroho ya namna hii? Zitto amekukosea nini mpaka kufikia kutaka kumteka mama yake? Acha ubaya mzee, hata kama ni kutaka madaraka lakini hatujafika huko.
Pole sana mama, mungu atakulinda.
Ujue unaposema chama cha mungu kwa kifupi ni CCM
Hili swala lipo MAHAKAMANI halipaswi kujadiliwa!