Hivi wewe Slaa mbona unaroho ya namna hii? Zitto amekukosea nini mpaka kufikia kutaka kumteka mama yake? Acha ubaya mzee, hata kama ni kutaka madaraka lakini hatujafika huko.
Pole sana mama, mungu atakulinda.
Inapendeza zaidi ikikaa hivi:
CCM ni chama cha mashetani. Na wewe ni zao la huyo shetani. Mashetani hao wana makao hapo Lumumba. Baadhi yao yamepanga magogoni.
Sijui Mh. Zitto amewakosea nini viongozi wenzake wa CHADEMA.
Naomba mniache.Hili suala linahusu uhai wa mtu.Utani wa kijinga kwenye uhai wa mtu sitaki kuhusishwa.Chukulia kama hili suala limemkumba mama yako mzazi
Kutumia matukio mabaya yanayowatokea binadamu mwenzako kama kete ya kisiasa ni unyama na wendawazimu wa hali ya juu.Tuwe na staha
Uhai wa Binadamu haununuliwi sokoni au dukani.Hakuna Gulio la Roho ya mwanadamu.Kuna maisha kabla na baada ya siasa.
Mama Salumu ni kiongozi ndani ya chama changu.Ni mjumbe wa kamati kuu.Naungana na wanachadema wenzangu kumpa pole na kumwombea faraja za Mwenyezi Mungu yeye na familia yake.
Hivi wewe Slaa mbona unaroho ya namna hii? Zitto amekukosea nini mpaka kufikia kutaka kumteka mama yake? Acha ubaya mzee, hata kama ni kutaka madaraka lakini hatujafika huko.
Pole sana mama, mungu atakulinda.
Chadema ina kila sababu za ukuichukua nchi hii mikononi mwa maccm kwani yameshindwa kuwalinda watanzania ili hali waliapa kuwalinda....Hivi wewe Slaa mbona unaroho ya namna hii? Zitto amekukosea nini mpaka kufikia kutaka kumteka mama yake? Acha ubaya mzee, hata kama ni kutaka madaraka lakini hatujafika huko.
Pole sana mama, mungu atakulinda.
ndo maana mi nasema slaa angeachana na haya mambo,kama mungu kampangia awe rais atakua tu hamna haja ya kuingizamo na umafia kwenye kusaka urais..urais wenyewe mtu hazikwi nao bana,bora ajitahidi kufanya mema pengine mungu akampunguzia adhabu ya kuasi kazi ya mungu kwa ajili ya anasa za hii dunia.unaweza ukatamani kitu lkn usikipate,wapo watu wenye hamu kubwa hata ya kuuwa wenzao ili wao wafike ikuru,tahadharini sana mnaowategemea eti wakiwa ikuru mambo yenu yatakuwa safi ni uongo mkubwa na uvivu tu wa wakufikiri,nyie mnajitoa mhanga ili wao wakae ikuru ila nawahakikishieni wao hawatajitoa mhanga ili hayo maisha yenu mabaya yawe bora.yawe
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
Unashangaa nini wakati vibaka, majambazi na magaidi siku hizi ndo wavaa magwanda. Kalagabhaho.