CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Maccm wamepata kasingo kapya,m23,Bunge,Chris Lukosi changamkieni elfu 7 masikini wakubwa nyie mnauza utu wenu kwa magamba.CHADEMA HAICHAFULIWI KWA MBINU NDOGO ZA KIJASUSI..We ar more than..
Haya yanaonyesha jinsi gani usivyo na roho ya ubinadamu hauwezi kuliita tukio hili ni kasingo. Please hebu onyesha kuguswa na maovu ya namna hii na kuwaalani wanaojaribu kufanya hivyo. Angekufa ndio ingekuwa singo kubwa?