Mama yake Zitto avamiwa

Mama yake Zitto avamiwa

Mwizi jambazi anaweza kuwa ni CUF, CCM, NCCR, CDM, muislamu, Mkristu, askari polisi, magereza, Jwtz. mama yake Zito amevamiwa na majambazi.

Najua kwasasa kuna hali tete sana. Kuna maAgent wa CCM ndani ya CDM ambao wao wanakazi moja tu ya kukichafua chama. Mara sumu, mara, masalia, mara, Msaki, mara, Zoka, mara, Ludovick, mara Mwigulu, mara nape Mara Kibaka ni kada wa cdm ?

Haya yote ni mapitio. Tutafika tu na uchafu wenu wote huu. Hakuna mnayemsaliti zaidi ya kusaliti dhamiri zenu na watanzania wote.

Hatuiungi mkono CDM kwa bahati mbaya. Lazima CCM watoke madarakani hata wakituita majina gani. Magazeti yale yale habari zile zile za watu wale wale.

Hii habari inasikitisha kwasababu mama wa kamanda wetu amevamiwa, ila inakera ilivyoripotiwa. Sijawahi kusikia kibaka alikuwa mkristu au muislamu siku zote mwizi ni mwizi. Awe na chama au la. Kwa kutaja chama cha siasa unaingiza siasa kwenye matukio yasiohusika.
 
Hapa kuna movie kali sana inataka kufanyika hivi karibuni viongozi wa Chadema na wengine kwa ujumla inabidi kuwa makini, so tusubirie na kuona what next,maana naona kama kuna something behind hii issue na tusubirie tu coming days...watu wanatafuta kila namna kuweza kuiuwa chadema...maana nimeshtuka hapo amesema anamtambua mmoja kada wa Chadema why and how??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hii michezo huenda ina nia mbaya na chadema na nchi yetu kwa ujumla, nahisi ni mwendelezo wa filamu maarufu ya lwakatare, MUNGU yupo na ana macho yanayoona hadi gizani, OLE WAKE MWENYE SEHEMU KATIKA UOVU HUU IWE HATA KAMA ANAJIFUNIKA KWA BLANKETI KUBWA LA UNAFIKI
 
Hapa kuna movie kali sana inataka kufanyika hivi karibuni viongozi wa Chadema na wengine kwa ujumla inabidi kuwa makini, so tusubirie na kuona what next,maana naona kama kuna something behind hii issue na tusubirie tu coming days...watu wanatafuta kila namna kuweza kuiuwa chadema...maana nimeshtuka hapo amesema anamtambua mmoja kada wa Chadema why and how??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Unashangaa nini wakati vibaka, majambazi na magaidi siku hizi ndo wavaa magwanda. Kalagabhaho.
 
Jamani acheni meno na kucha za mama ZITTO....... malizaneni wenyewe wazazi wetu mtuachie
 
Mwizi jambazi anaweza kuwa ni CUF, CCM, NCCR, CDM, muislamu, Mkristu, askari polisi, magereza, Jwtz. mama yake Zito amevamiwa na majambazi.

Najua kwasasa kuna hali tete sana. Kuna maAgent wa CCM ndani ya CDM ambao wao wanakazi moja tu ya kukichafua chama. Mara sumu, mara, masalia, mara, Msaki, mara, Zoka, mara, Ludovick, mara Mwigulu, mara nape Mara Kibaka ni kada wa cdm ?

Haya yote ni mapitio. Tutafika tu na uchafu wenu wote huu. Hakuna mnayemsaliti zaidi ya kusaliti dhamiri zenu na watanzania wote.

Hatuiungi mkono CDM kwa bahati mbaya. Lazima CCM watoke madarakani hata wakituita majina gani. Magazeti yale yale habari zile zile za watu wale wale.

Hii habari inasikitisha kwasababu mama wa kamanda wetu amevamiwa, ila inakera ilivyoripotiwa. Sijawahi kusikia kibaka alikuwa mkristu au muislamu siku zote mwizi ni mwizi. Awe na chama au la. Kwa kutaja chama cha siasa unaingiza siasa kwenye matukio yasiohusika.

Lau kama Dr. Kanjanja naye angekuwa na akili kama ya kwako, may be tusingekuwa tunayashuhudia haya.
 
Hizi ni siasa chafu tu, kutaja chama cha siasa kwenye kila tukio la kihalifu ni siasa chafu sana...!
.ama kweli ukipenda, chongo husema husema kengeza,hata kama mmoja wao waliokuja kutaka kumfanyia ubaya anamjua asiseme!!!? Eti kwa vile yupo chadema?!!kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni....
 
Hapa kuna movie kali sana inataka kufanyika hivi karibuni viongozi wa Chadema na wengine kwa ujumla inabidi kuwa makini, so tusubirie na kuona what next,maana naona kama kuna something behind hii issue na tusubirie tu coming days...watu wanatafuta kila namna kuweza kuiuwa chadema...maana nimeshtuka hapo amesema anamtambua mmoja kada wa Chadema why and how??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Nahisi hivyo pia
 
huu uzi najua member wanaolipwa na lumumba kama bungen na wengne wataonekana apa cz lazma waihusishe na siasa zao za majtaka

humu fj kila mtu anauhuru wa kutoa mawazo yake wala usiwatishe na kuwaziba mdomo.
 
Hivi wewe Slaa mbona unaroho ya namna hii? Zitto amekukosea nini mpaka kufikia kutaka kumteka mama yake? Acha ubaya mzee, hata kama ni kutaka madaraka lakini hatujafika huko.

Pole sana mama, mungu atakulinda.
 
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa CHADEMA atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
basi kutakua na information za muhimu sana alizonazo zito ,ambazo ni hatari kwa hao wanaomtafuta.
 
Hebu mpeni huyo mama picha ya mzee wa unga mwekundu, inaweza kuwa huyu kijana ndio alitumwa kufanya hii shughuli.
 
Hivi wewe Slaa mbona unaroho ya namna hii? Zitto amekukosea nini mpaka kufikia kutaka kumteka mama yake? Acha ubaya mzee, hata kama ni kutaka madaraka lakini hatujafika huko.

Pole sana mama, mungu atakulinda.
badala saa hizi aokoke na kumrudia mungu kwani umri wake umeshafika hatua za dakika za majeruhi ,yeye ndo anakazana kuwafinyia watu mambo ya ajabu sana,huyu akikosa urais mwaka 2015,ataleta machafuko.
 
Ujue unaposema chama cha mungu kwa kifupi ni CCM

Inapendeza zaidi ikikaa hivi:

CCM ni chama cha mashetani. Na wewe ni zao la huyo shetani. Mashetani hao wana makao hapo Lumumba. Baadhi yao yamepanga magogoni.
 
Back
Top Bottom