Mama yake Zitto avamiwa

Tujiulize hizi ID mpya zinazoleta mashambulizi na kukichafua CHADEMA na viongozi wake kwenye thread hii zina malengo gani hasa?

Bila kusahau ID mpya ambazo zimekuja ku pre empty mjadala na ikiwepo ya Barcelona ambaye naamini ni kiongozi wa juu yaani kama si 1 probably wa pili fullstop.
 

One day our hypothesis will become a facts.
 
HIvi chadema mtajaribu ku-preempty matukio mpaka lini? Na hili nalo? Jamani oneni aibu, matukio haya sasa yamezidi chukueni maamuzi mageumu ndani ya chama badala ya. Kukingia kifua mambo ambayo yako hadharani kiasi hiki

Mpaka muache kuhusisha kila kitu kibaya na CHADEMA....hata unconceivable issues!
 
mrembo, kama umekosa kazi nenda kauze mwili wako. hapa watu wanajadili issues. zitto anapaswa kutafakari yanayomtokea badala ya kukimbilia kuwatetea wahalifu. ipo siku atajuta

Zitto hawezi kuishi kwenye hisia...ndio maana kawaachia polisi wafanye uchunguzi....hisia siku zote hu-mislead accurate information kwa polisi...dont be too much imaginative!
 
Bila kusahau ID mpya ambazo zimekuja ku pre empty mjadala na ikiwepo ya Barcelona ambaye naamini ni kiongozi wa juu yaani kama si 1 probably wa pili fullstop.
mimi nachoshangaa kwanini huyu ben saanane alisema hakuna mtu anaeitwa sabula pale chadema,kwenye moja ya post zake hapa.yawezekana hivi visa wanafanyiana wao kwa wao hawa mahasimu kina yericko nyerere,saanane,shadcole dhidi ya zito bila chama chao kujua.
 

Mbio za sakafuni huishia ukingoni jamaa.
Zitto atabakia Hero kwa watanzania kutokana na mchango wake na kujitolea kwake hata akifa/kuuliwa kesho na Dr atabakia Hero kwa watu flani.
 
chadema wawe makini ccm wameona 2015 imekarbia wanatumia kila njia kuwavuruga...
 

Usimlaumu mama Zitto...unalijua Mtanzania wewe? ni zaidi ya Risasi na Sani!
 
Nasikitishwa na mambo yanayobadilishwa kila kukicha kunatengenezwa kitu kimpya, tena chenye malengo yenye kuvuruga chama ambacho kwa kweli kinakuwa na malengo ya kuwa kuwakomboa wananchi wa Tanzania. Chama cha mapinduzi kimefika sehemu hakina kitu cha kuwaeleza wananchi kimebakiza kupiga majungu na hii ni dalili inayoonesha anguko kubwa ambalo halijawahi tokea na kwakuwa angiko hili hata wao wanaliona na hawana namna ya kufanya , wanafikiria kuanzisha CD'S za uchonganishi, mikanda ya video ya kuwagawa wananchi kwa misingi yao ya itikadi ya chama au dini. Hii ni mbaya sana, nawaomba viongozi na wabunge wetu wa chadema simamaeni hivohivo kama wawakilishin wa wananchi wa T ANZANIA.
 
hivi wewe ni binadamu wa kawaida au ni shetani.....gaidi ni lwakatare na ludovick nadhani na wewe ni miongoni mwao kutokana na maneno yako haya

Usibishe...Mtikila alikuwa na kesi ya kumuita JK gaidi na alishinda kesi hiyo!
 
mm stak kuwa muumini wa chamachochote cha siasa ila upnzani wa kweli ndio unaoleta maendeleo kwan serkali itatmiza wajbu wake kwa wakat ila paspo upnzan wa kqweli watawala watafanya mambo wanavyotaka wao si jamii na wapga kura wanavyotaka
 
mm stak kuwa muumini wa chama chochote cha siasa ila upnzani wa kweli ndio unaoleta maendeleo kwan serkali itatmiza wajbu wake kwa wakat ila paspo upnzan wa kqweli watawala watafanya mambo wanavyotaka wao si jamii na wapga kura wanavyotaka
 

Check akili yako kama inafanya kazi hao anasema chadema ni wauaji na watesaji si wameshakula maneno yao walithibitisha wapi ,unaleta matusi halafu unataka tusiseme huyo mama Shida na mwanawe Zitto they dont command any respect any more, ni culprits tu hao ,usitishe watu kwenye mtandao
 
Hapa kuna ajenda maalumu inatekezwa kati ya Mama Zitto na mwanae kwa kujua au kuna watu wanawatumia bila Zitto na mama yake kujua.
 

Mlikuwa wapi kipindi chote hicho...? naona ID kibao 2013? Karibuni tupambane kwa hoja siyo hivi viroja venu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…