hivi wewe ni binadamu wa kawaida au ni shetani.....gaidi ni lwakatare na ludovick nadhani na wewe ni miongoni mwao kutokana na maneno yako haya
MAELEZO YA MAMA ZITTO
Mama Shida alikwenda kuripoti tukio la kuvamiwa kwake katika kituo cha polisi cha tabata na kufunguliwa jalada na. TAB/RB/2898/CCY/13 lakini aliambiwa kuwa tukio hilo ni
csvkubwa kwa hiyo akaripoti kituo cha polisi cha Buguruni ambacho ni kikubwa. Alikwenda kuripoti kituo cha buguruni na kufunguliwa jalada no.BUG/RB/5153 LA KOSA LA KUTISHIA KUUA KWA BASTOLA.
Baada ya kutoka hapo polisi , Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru.
MAMA ZITTO amesema kuwa alipokuwa mwanza, hotelini aliwahi pia kuvamiwa na vijana wawili wa kiume ambao walijifanya wamepotea chumba.
Gaidi ni Kikwete hamna mwingine nchi hii unajua Bilioni 29 anaanzisha tume ya kufuatilia miradi na unaju mwenyekiti wake atakuwa nani Ridhiwani the prince akisaidiwa na Salma
Habari yenyewe imekaa kiudaku mno! Mtanzania ni bora wautumie muda huu kumjenga mgombea wao Lowasa kuliko kuandika habari za kiudaku!
Mama Zitto mweleka kaanguka chini puu nimdharau sana huyu mama unajua kama ulikuwa na heshima na mtu alafu akageuka kiroboto unababua tuu
Mkuu bungeni unajitahidi sana kutuaminisha yale unayotaka tuamini...wajanja tumeshakujua mpango huu wote kwani ni muendelezo wa zile movie....soma hapa mkuu pengine utapata la kuweka akilini.
MAELEZO YA MAMA ZITTO
Shida alikwenda kuripoti tukio hilo katika kituo cha polisi cha tabata na kufunguliwa jalada na. TAB/RB/2898/CCY/13 lakini aliambiwa kuwa tukio hilo ni kubwa kwa hiyo akaripoti kituo cha polisi cha Buguruni ambacho ni kikubwa. Alikwenda kuripoti kituo cha buguruni na kufunguliwa jalada no.BUG/RB/5153 LA KOSA LA KUTISHIA KUUA KWA BASTOLA.
Baada ya kutoka hapo polisi , Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru
MAMA ZITTO amesema kuwa alipokuwa mwanza, hotelini aliwahi pia kuvamiwa na vijana wawili wa kiume ambao walijifanya wamepotea chumba.
soma hapa mkuu pengine utapata la kuweka akilini.

Wale wale mamluki wa CDM waliotumwa kufanya kazi wanatimiza kazi zao ili kukimaliza chama!! CDM kuweni makini. Ninamshukuru Chama katika thread moja ameniuliza ni kwa nini nashinda hapa JF kuandika ninayoandika na akaenda mbali zaidi kuwa tujiulize ni kwa nini vijana wengi wamejaa CDM na wakati mwingine hawajulikani wanafanya nini na cha kushangaza CDM inawaalika tu kufanya nao kazi bila kuwafahamu ipasavyo!! CDM msessage sent to you!!! sasa hivi wanataka kuonesha umma kuwa CDM kuna maharamia, magaidi, majambazi, wauaji n.k!!! Watawatumia hawa hawa mnaofikiri ni viongozi au wanachama wakongwe wa CDM kutekeleza azma yao!! CC Ben Saa Nane, Mohamed Mtoi, Tumaini Makeni, Mikael P. Aweda, John Mnyika, Rejao, Ritz, Chama.
Haiwezekani wataalamu wa video ya Lwakatare wakawa ni walewale????Sijui Mh. Zitto amewakosea nini viongozi wenzake wa CHADEMA.
Haiwezekani wataalamu wa video ya Lwakatare wakawa ni walewale????
Tembo detectedvirus detected
Tunako elekea tutahamia kulala jeshini sasa