Mama yake Zitto avamiwa

Mama yake Zitto avamiwa

Bacelona amesema si mwanachadema sasa kawezaje kupata fulsa ya kujua mawsiliano ya mama zito na sabula,pia amesema mawasiliano ya simu ya sabula yamefanyiwa kazi kajuaje na yeye si mwanachadema? Pimeni wanajf.
 
Mkuu bungeni unajitahidi sana kutuaminisha yale unayotaka tuamini...wajanja tumeshakujua mpango huu wote kwani ni muendelezo wa zile movie....

mkuu kuliko kumshambulia ni bora upinge kwa hoja mana naona kama amenukuu maelezo ya zitto, akachukua maelezo ya gazeti na akaweka maelezo ya mama yake zitto, sidhani kama kushambuliana personality ina tija katika mjadala huu.
 
Bacelona amesema si mwanachadema sasa kawezaje kupata fulsa ya kujua mawsiliano ya mama zito na sabula,pia amesema mawasiliano ya simu ya sabula yamefanyiwa kazi kajuaje na yeye si mwanachadema? Pimeni wanajf.

hizo ndio lugha za wanasiasa mkuu, ukweli anaujua na inawezekana kabisa ikawa yeye ndio aliyemfanyia unyama huu mama yake zitto.
 
Kwa wanaomjua huyu mama alivyo tapeli ingawa mwanae ni maarufu hawashangai. Huenda ameishakula dili na CCM kuanza kuichafua CDM kama si kuandaa mazingira ya yeye na mwane kukitoa CDM. Huyu mama ni kigeugeu kwa wanaomfahamu kabla ya mwanae kuwa mbunge alipokuwa akijitahidi kubomu pesa kupitia kikundi cha watu walioslimu. Ni mama hatari huyu ambaye hapaswi kuaminiwa ingawa lolote lawezekana hawa wakawa vibaka. Siasa za bongo zimegeuka mchezo mchafu kweli kweli.
 
Kwa kifupi tu mama Zitto hana passion ana CDM kwa sababu anataka mwanaye awe Mwenyekiti na ikiwezekana agombee Urais!! Huu ni mpango wa kupanga, hana mapenzi na CDM!!! Ila anapoteza steps!! Pole mama!! Umelipwa ngapi mama Zitto!! Movies are going on!! Mpaka movie za kufikirika tutaziona pindi 2015.!!!!

haiwezekani tukio kubwa kama hilo kuwasilishwa kiudaku udaku hivyo. Mi nashauri CDM wawe makini kupita kiasi kwenye intelijensi yao, wanaungaunga tu maneno kiasi cha mtu makini kum-wia vigumu kuamini tukio zima..bla bla kibao. Time will tell watahaha sana na mbinu zao chafu
 
mkuu kuliko kumshambulia ni bora upinge kwa hoja mana naona kama amenukuu maelezo ya zitto, akachukua maelezo ya gazeti na akaweka maelezo ya mama yake zitto, sidhani kama kushambuliana personality ina tija katika mjadala huu.
Mkuu mbona bungeni anahoja wasiwasi tu.
 
ingekuwa mama yako amefanyiwa haya ungeandika huu ujinga wako hapa???? tuwe na huruma ya kibinadamu hata kama tuna uroho wa madaraka kama mbwa mwenye njaa

sijui kwanini siamini kabisa hii hadithi. Kavamiwa ijumaa halafu habari itoke jumatano tena kwenye media yenye mtazamo hasi na chama alichopo mwanae?? Siwezi kuamini kabisa.
 
Hebu fikiria,mama yako ndio kawekewa kabastora kichwani na anasubiria kudra za mungu tu.
 
Mama Zitto mweleka kaanguka chini puu nimdharau sana huyu mama unajua kama ulikuwa na heshima na mtu alafu akageuka kiroboto unababua tuu

Je ikaja kufahamika ni kweli mama Zito amevamiwa na majambazi na miongoni mwao alikuwepo kada wa chadema ambaye si muaminifu kwa cdm(kada aliye saliti cdm kwa malipo maalumu ili akichafue cdm). Huoni utakua umemkosea huyu mama pamoja na Zito?
 
haiwezekani tukio kubwa kama hilo kuwasilishwa kiudaku udaku hivyo. Mi nashauri CDM wawe makini kupita kiasi kwenye intelijensi yao, wanaungaunga tu maneno kiasi cha mtu makini kum-wia vigumu kuamini tukio zima..bla bla kibao. Time will tell watahaha sana na mbinu zao chafu

mkuu, nakushauri ufuatilie hii thred taratibu utaweza kuelewa...page ya kwanza ina kila kitu. kama kweli wewe umejiunga katika jukwaa hili kwa lengo la kujenga taifa na ukajisajili kwa fake id, hutatumia muda wako kubomoa nchi yako.
 
Matukio yote ya kuihusisha chadema kwenye ugaidi lazima imhusishe ZZK Kwanini?

Sasa inaenda mbali kwa mama mzazi!

ZZK is still a controversial person. Hii ni mbaya zaidi kama ni muendelezo wa ubambikizaji, baadaye hao hao watakuja kufanya kweli. Usilie chui chui kumbe hayupo
 
ukisoma vizuri maelezo ya mama hapo ni wazi hana uhakika kama ni makada wa chadema ila kwa sababu walijitambulisha hivyo! ni wazi ni muendelezo wa siasa za matope ili chadema kichafuke. hivi kweli mwalifu ajitambulishe ili iwaje? lengo ? hii movie nayo imebuma!
 
mkuu, nakushauri ufuatilie hii thred taratibu utaweza kuelewa...page ya kwanza ina kila kitu. kama kweli wewe umejiunga katika jukwaa hili kwa lengo la kujenga taifa na ukajisajili kwa fake id, hutatumia muda wako kubomoa nchi yako.

wanaobomoa nchi ni hawa watengeneza matukio feki.
 
ukisoma vizuri maelezo ya mama hapo ni wazi hana uhakika kama ni makada wa chadema ila kwa sababu walijitambulisha hivyo! ni wazi ni muendelezo wa siasa za matope ili chadema kichafuke. hivi kweli mwalifu ajitambulishe ili iwaje? lengo ? hii movie nayo imebuma!

Mi nashindwa kuelewa kwamba upuuzi tu wa vibaka fulani wanaotaka kumpora mama fulani unaweza kuwa issue ya kujadiliwa mpaka pg ya 20.

Wayu wanatoka kwenye mijadala ya msingi wanajadili ujinga tu.
 
Kaka nchi hii tuna Gaidi kigagula mmoja tuu Jakaya Kikwete na mwanawe Ridhiwani unajua Dola bilioni moja na nusu za wachina zimeshatoka, mama yako atafufuka kuja kuzilipa

Vipi na wewe umeshiriki nini kwenye tukio ?
 
teh teh teh! Another Mwimbo, Bt Mwimbaji yule yule na Content zile zile... Mta angaika sana mpaka 2015.
 
Ninamfahamu mama Shida personally, na honestly huu mkasa nashindwa kuununua.
Sawa hao 'waliotumwa say na chama' walikuwa so stupid as to allow mama Salum amwite dereva ili akalete laotop chumbani badala ya kuongozana na mama shida at gun point chumbani na kuichukua.

Au, kuaccess computer ya mtu muhimu kichama, sidhani kama ni that hard ukizingatia waweza muomba utumie kwa few minutes na kuhack anything.
Sipati kigugumizi kusema huyu mama anatumiwa na magamba and knowing her kuna kitu anapata in return.
 
Back
Top Bottom