usisahau mafilifili na sumuthanx kamanda,mweleze zemarcopolo,bungeni,m23 kuwa waje na vichwa vyao akili ndogo waendelee kupata posho lumumba bidae ktk thrid live updates:mkutano wa chadema mbeya..wataharisha mwaka huu hawa magamba
wameshaanza kuteka wazazi wa wenzao tena? hii kali
CCM na usalama wa taifa wandhani Zito ni uchochoro wa kupitia kufanikishia mpango wao wa kuisambaratisha CHADEMA hawajui kuwa Zito alijiunga na CHADEMA akiwa na umri wa miaka 16! Hivyo hajui chama kingine zaidi ya hicho kilichomkuza. Wao wanadhani wanaweza kumfanyia usanii hovyohovyo akasaliti na kusambaratisha chama kilichomlea, walie tu. Bali mimi nimjuavyo Zito ana akili nyingi na anajua kuwatumia CCM na usalama wa taifa kwa manufaa MAPANA ya CHADEMA na ataendelea kuwatumia kwa kadri ya ujinga wao na wakiishi kwa matumaini siku moja watamtumia, KATU hawawezi nawashauri watafute uchochoro mwingine, vinginevyo subirini kunyolewa 2015
Mtanzania na propaganda
wamesema mama yake Zitto alimwona kada wa chadema na anamfahamu yale
yale ya baba yake Mtela Mwampamba, mtu amuonye tu Shida binti Salum ana
heshima kwenye jamii asijiingize kwenye propaganda za kusaidia usaliti
wa mwanane wa masalia, mama tulia kula vya mwanao pole pole dhambi ya
uongo ni mauti , sasa hili dili litakufa kama lilivyokufa la video, pole
mama habari ya leo ni liwale
Akili za kushikiwa kama hizi hazifai katika jamii yetu.
kweli mkuu ile kauli ya kusema CDM haifiki 2015, naona ipo kazini.Magaidi at work,,eti mpewe dola,,,puuuuuuumbafuuuuuu
Mmh tumeanza kuyatambua hadi majambazi kwa itikadi za kisiasa eeeh Mungu tuepushe Usalama wa Taifa wanatupeleka kubaya.
Jamani acheni meno na kucha za mama ZITTO....... malizaneni wenyewe wazazi wetu mtuachie
kuunganisha dots huwa kazi ngumu sana, unatumia resorces nyingi mno na on the process kuna wengine lazima wawe mbuzi wa kafara.mmmmh.....imepikwa hii. Kila njia kwa sasa zinatafutwa kuvuruga Chama, kuna lengo linapotezwa hapa, Chezea ZZK wewe. Nasubiri mchezo huu tuone utafikia wapi
Excellent, umemaliza kazi yako ya leo, wahi book 7 Lumumba kwa Nape.
Tiba
Mkuu, hii ni kazi ya charles Mulinda, alikuwa mwandishi wa tanzania daima na kazi zake ni hizi za kuchafua watu, miaka ya nyuma alimuwinda samwel sitta mpaka mzee wa watu ikabidi atishie kwenda mahakamaniHili gazeti la Mtanzania Jumatano huwa lina matatizo gani maana lazima waandike propaganda chafu dhidi ya Chadema
Tunatumaini Zitto atakuja ku-clarify hii taarifa hapa.