Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
ni kweli bwana haiwezi kufa ila labda zitto mabaye tayari.Kwahiyo Mama Wassira ndio kithibitisho kuwa CHADEMA haifi.
ni kweli bwana haiwezi kufa ila labda zitto mabaye tayari.Kwahiyo Mama Wassira ndio kithibitisho kuwa CHADEMA haifi.
na baaadooooohahahaha...umemmaliza
mkuu ulitakiwa uongeze hapo kwenye red ISIPOKUWA NAFASI YA MWENYEKITI. ni vizuri ukamalizia.Kuingia na kuishi kwenye nyumba yenye misingi imara ni maamuzi sahihi sana. CHADEMA ni kwa wote wenye mapenzi mema na Tanzania. Kama mtu yupo CHADEMA kwa sababu kuna Dr Slaa, Mzee Mtei, Mbowe, Zito, Msigwa, Mnyika, Mdee nk, atoke haraka sana maana amekosea mlango.
Tuliopo CHADEMA ni wale tu tunaoamini ktk katiba ya CHADEMA jinsi inavyotutaka wanachama tuwe.
KARIBUNI SANA.
Rachel Wassira ni mke wa George Wassira mmoja wa waasisi wa Chadema, ambaye pia ni Mkubwa wa Steven Wassira (waziri)...
Kwahiyo Mama Wassira ndio kithibitisho kuwa CHADEMA haifi.
ni mama yake bwana wenu wasira a.k.a king kongMama Wasira ni. nani ktk hii inchi.
Ufafanuzi kidogo
Kwanini huyo MTUME WA CCM, MTUME Steven Wassira hakututabiria kwamba Shemeji yake Mama Rachel Wassira atahamia CDM kabla CDM haijafa 2015?!
Ilikuwaaje Mtume Steven Wassira Mungu akakunyima kukuonesha hili ONO la shemeji yako?! Ninaanza kuwa na wasiwasi huenda Mtume wa CCM Steven Wassira ni type ya akina Marehemu Sheikh Yahya! (RIP)
Mama Wasira ni. nani ktk hii inchi.
Ufafanuzi kidogo
Amn ucamn hyo ni mbgu iliyopnd n ccm ili itoe cri z chdem kw ccm. NI MTAZAMO TU
Hya kaka