nina wasiwasi katumwa si bure.chadema iwe makini na wanaotoka ccm. haswa katika kipindi hichi cha usaliti na mbio za kuelekea uchaguzi mkuu wa urais.
Kwa hiyo habari ni jina la Wasira tu hata angekuwa ni mke wa Mzee Mtei?Rachel Wassira ni mke wa George Wassira mmoja wa waasisi wa Chadema, ambaye pia ni Mkubwa wa Steven Wassira (waziri)...
Ni mungu gani aliyerafiki wa chadema wakati slaa alishamkosea mungu?
Mama Wasira ni. nani ktk hii inchi.
Ufafanuzi kidogo
Mama Wasira ni. nani ktk hii inchi.
Ufafanuzi kidogo
Rachel Wassira ni mke wa George Wassira mmoja wa waasisi wa Chadema, ambaye pia ni Mkubwa wa Steven Wassira (waziri)...
Hii habari ilipaswa leo iwe ni habari kubwa kidogo!
Katika harakati za kuendelea kwenye ukombozi, Jana tumeshuhudia watu wawili
Muhimu sana katika familia za CCM wakijiunga na Chadema.
Aliyekuwa DC wa Mbozi Bwana Kimolo na Mama Rachel Wassira!
Ndio waliyofanya maamuzi sahii siku ya jana kwa kuamua kuvua magamba na kuvaa magwanda.
Wakati Mama Wassira anajiunga na Chadema jana alisema hiki chama kina MUNGU!! Na hana sababu inayomfanya aendelee kuwa CCM.
Hongera sana Mama Wassira, na kwa kupitia wewe Tunaamini Mzee George Wassira atakuja huku pia..
Hongera Pia Mzee Kimolo.
ShemejiMama Wasira ni. nani ktk hii inchi.
Ufafanuzi kidogo
Huyo Mama Rachel inabidi achukue tahadhari kubwa. Siku akikutana na MTUME wa CCM, Mtume Steven Massatu Wassira lazima ataambulia ngumi za kufa mtu. Maana huyo MTUME wa CCM anajulikana kwa jina jingine MIKE IRON TYSON.
Ni mungu gani aliyerafiki wa chadema wakati slaa alishamkosea mungu?
Kama mnakumbuka Mama Wasira ni miongoni mwa wale wagonjwa waliofadhiliwa na Vodacom foundation kwa kutibiwa Ugonjwa wa Fisitura pale CCBRT amepona tu juzi juzi!
Ikumbukwe pia Dr Slaa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Hospital ya CCBRT na pia ni Katibu Mkuu Chadema