Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Mama Wasira ni. nani ktk hii inchi.
Ufafanuzi kidogo

Mama Wasira ni Mtanzania mwenye joto la kutaka kuendeleza nchi yake Tanzania. Kwa nini mnataka kuwastahi watu kwa ajili ya majina ya vyeo vyao, ambavyo ni dhamana tu? Je, wewe pia unataka tukuone ni wa maana katika nchi hii pale tu utakapopewa cheo au uongozi?

IKiwa unamwona mama Wasira si chochote katika nchi hii, je haikufanyi wewe pia usiwe chochote katika nchi hii, kwa kuwa labda huna cheo cha uongozi nchini?

Ukombozi wa nchi yetu unaanza na kila mtu kuwa na self esteem, inayomfanya ajione kuwa yeye ni mtu muhimu na ana uwezo wa kuchangia maendeleo ya nchi yake, pamoja na mama Wasira, na kina mama na wananchi wote nchini, whether wanaishi Manzese au Mbezi Beach au Gezaulole.
 
Back
Top Bottom