Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Si mlisema majina ya watu sio issue ila chama kama chama ndio mpango mzima?????!!!!
Au majina yana umuhimu wakati wa kuingia tu wakati wa kutoka tunavua ubatizo????!!!!!


Thubutu yeeenu mkiwa waongo muwe na kumbukumbu pia!!!!!

Falsafa ya CHADEMA ngumu sana ukielewa ikiwa unatumia miguu kufikiri.
 
Kuweni waangalifu, kwani kipindi hiki mtapokea kila aina ya mapandikizi ambayo yanalenga kukiteketeza chama hiki.
Hilo kweli ila watapulizwa na upepo mkali. Wamuulize zitto kabwe alivyo pulizwa
 
mkuu , tunakushukuru sana kwa kuliona jambo hili , muunganiko wa tofali moja moja ndiyo uliotengeneza hizi nyumba tunazoishi .
 
Sasa kama umejielewa fahamu kuwa Chadema ndio iko ICU wameanza kugawana mirathi huko kigoma.

Time will tell,maana unaota huku unatembea,na yote haya ni kwa sababu hujui kwamba hujui.kama unadhani chadema ni Zitto,endelea kumuomba Mungu wa ukweli,ila ukiona hakutoshi wewe nendeni hata kwenye hazina mliokuwa mnatamba nayo kwamba hata panya hatabaki.
Lkn watanzania wapo watakuwepo na wataidumisha CDM.
 
Falsafa ya CHADEMA ngumu sana ukielewa ikiwa unatumia miguu kufikiri.

Waeleze watoto wenzio maneno haya!!!!!!!!

Just reminder; philosophy is a prostitute discipline easy to seduce but you need a brain to lay it to your requiremnts!!!!!!

Collect your brains and lets rumble!!!
 
naomba kuuliza swali... japo sio vizuri kuwataja marehemu lakini kwani!!!!""""""" yule dada wa damu wa FREEMAN KENGEZA MBOWE aliyetangaza kuhamia CCM alikufa kwa ajali gani???''''''''
kwa ajari ya bajaj la ccm
 
Kuweni waangalifu, kwani kipindi hiki mtapokea kila aina ya mapandikizi ambayo yanalenga kukiteketeza chama hiki.
kwani MASALIA walitoka ccm ? ukitaka kujua usaliti unakoanzia angalia maisha ya wasaliti wote hawa tunaowajadili humu kuanzia kule kwenye familia wanazotoka , hata huyo kiongozi wao , Utagundua kwamba DHIKI KALI iliyopelekea TAMAA YA UTAJIRI bila kufanya kazi ndiyo iliyowaponza .
 
Kwahiyo Mama Wassira ndio kithibitisho kuwa CHADEMA haifi.

hiviiii akili zako bado zinakutuma kukushauri kwamba CDM itakufa??? kweli wewe mburula haswa!! yaani hutofautiani na FISI MZEE.. we subiria tu kitaanguaka hahaaa.. siku zenda na mwisho utapiga saluti.. mburullaaa
 
Hii habari ilipaswa leo iwe ni habari kubwa kidogo!

Katika harakati za kuendelea kwenye ukombozi, Jana tumeshuhudia watu wawili
Muhimu sana katika familia za CCM wakijiunga na Chadema.

Aliyekuwa DC wa Mbozi Bwana Kimolo na Mama Rachel Wassira!
Ndio waliyofanya maamuzi sahii siku ya jana kwa kuamua kuvua magamba na kuvaa magwanda.

Wakati Mama Wassira anajiunga na Chadema jana alisema hiki chama kina MUNGU!! Na hana sababu inayomfanya aendelee kuwa CCM.

Hongera sana Mama Wassira, na kwa kupitia wewe Tunaamini Mzee George Wassira atakuja huku pia..

Hongera Pia Mzee Kimolo.


Dogo. Nini Mama Wassira? Mzee Steven Tyson Wassira mwenyewe aliwahi kuwa mbunge wa UPINZANI na leo yuko wapi? Haya Mzee Kimolo mwizi wa pembejeo akaenda kuziuza Zambia. Halafu tuambieni Hao wanachama wapya ni Chadema asili au Chadema uchagani?

Hamuwezi kuwa hamjalewa.

Mwisho.
Sasa kama chadema ni Chama cha Mungu. Ukristo na Uislam ni vyama vya nani? Msichanganye siasa na dini.
 
Ni mungu gani aliyerafiki wa chadema wakati slaa alishamkosea mungu?

kwani wewe hujamkosea mungu? mbona unatembea na mme wa naniliu.... hatusemiii?? acha hizo bana ucwe kama mwandiga na wewee
 

Mama Wassira ndio mzimu gani huo? Na je yeye ni mchagga? Kama sio mchagga ataishia kutumiwa na kisha kutupwa km toilet paper.
Una kinyesi kichwani badala ya ubongo, ndiyo maana akili yako yote iko kwenye kuendekeza ukabila. Wenzako wanatafuta singo mpya wewe umeng'ang'ania zilipendwa.
 
ni kawaida ya chama chochote kuweka hadharani jadi za zamani za wanachama wapya hata ccyenu hayo yapo.kinachoshangaza nn?
 
nina wasiwasi katumwa si bure.chadema iwe makini na wanaotoka ccm. haswa katika kipindi hichi cha usaliti na mbio za kuelekea uchaguzi mkuu wa urais.
 
Back
Top Bottom