Kumbe ulikuwa hujui! Huyu alipotoka zamani sana hasa pale akiwa mshikaji wa Kitwana Kondo aliyemzalisha na kumtafutia ujiko. Sijawahi kuona pwenti kwenye mawazo ya mama huyu mpayukaji na mropokaji. Simba ni mmojawapo wa nguzo za ufisadi serikalini.Wadau naomba mniweke wazi kweli bado kuna kizazi cha karne ya 19 kina ishi mpaka leo hii haya ya metakana na waziri simba kusema watoto wanao soma karne hii ya 21 nitofauti na wao walio soma karne ya 19
hivi unapata nini kutukana watu wazimahuyu si ndo yule mama anayeongozwa na akili za ngono??