Mama Sophia Simba nahisi amepotoka anasema amesoma karne ya 19

Majutokk

Member
Oct 29, 2012
92
23
Wadau naomba mniweke wazi kweli bado kuna kizazi cha karne ya 19 kina ishi mpaka leo hii haya ya metakana na waziri simba kusema watoto wanao soma karne hii ya 21 nitofauti na wao walio soma karne ya 19
 
kama unajuwa karne moja ina miaka mingapi utakuwa umeshapata jibu kama yupo sahihi
 
Yule mama angefiti sana mashauzi classic lakini kuingia kwenye baraza la mawaziri kwenye nchi kama hii yenye matatzo lukuki
 
Wadau naomba mniweke wazi kweli bado kuna kizazi cha karne ya 19 kina ishi mpaka leo hii haya ya metakana na waziri simba kusema watoto wanao soma karne hii ya 21 nitofauti na wao walio soma karne ya 19
Kumbe ulikuwa hujui! Huyu alipotoka zamani sana hasa pale akiwa mshikaji wa Kitwana Kondo aliyemzalisha na kumtafutia ujiko. Sijawahi kuona pwenti kwenye mawazo ya mama huyu mpayukaji na mropokaji. Simba ni mmojawapo wa nguzo za ufisadi serikalini.
 
hii ni sehemu ya great thinkers ,sidhani kama ni busara kuanza kujadili kisa mtu kakosea kusema 19 badala ya 20. nadhani hata sisi wananchi tunapoteza muda mwingi zaidi kwa vitu ambavyo havina msingi, badala ya kujadili vitu ambavyo vitatuletea maendeleo,we lack focus.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom